Ni yupi kati ya hao wawili atakuwa hana adabu kabisa- Aliyepaki gari mahali pasipostahili na bila hata kutoa taarifa ya kuomba exemption? au huyo kijana aliyetimiza wajibu wake kwa kuzingatia Taratibu alizopewa na boss wake?Huyo kijana alikwendaje kufunga gari ya mahita hana adabu kabisa
Hujakaa kitaa...Uzwazwa mwingi sana kwenye aya maelezo
hawamjui..wakamuulize lipumbaMahita mtata kitambo
Walikuwepo watata zaidi yake enzi za nyuma, lakini leo hii wametulia au dunia imewalazimisha wawe wanyenyekevui.e. Dunia imewatiisha.Mahita mtata kitambo
hawamjui..wakamuulize lipumbaMahita mtata kitambo
haaaaBila shaka Amekutoa jasho, ukakimbilia huku moja kwa moja
mzoee uyo ana laana inamtafuna alimwaga sana dam enzi zake kama unakumbuka tukio la mwembe chai aliqmuru wapigwe sana risas waislam seeikal wamtazame ivo viashriq kua alikua mtu wa aina gan hana busara kashakua mzee asume pind kijana alikuaje katumia sana siraha ya moto na ndiomana hat saiv kidgo anakutolea bastola nafkir ht ndg wamshaul astembee nayo itamletea matatzo km dc mstaaf ditopile aliompga risas dereva wa daladala mwisho wke ukaw mbaya piaBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Huyo Traffic Police akimsimamisha na kukuta ni Mahita badala ya kupiga saluti atamkimbia..Hivi anaweza kukamatwa na Trafiki[emoji1787][emoji1787]
Alafu wakati mtu ana-park gari huwa wanaangalia tu ili wapate sababu ya kufunga mnyororo tyre wapate maokoto ya fine ya wrong parkingLakini wanaofunga Huwa wanakera sana.unashangaa umepaki gari Yako inaenda kunywa chai unakuta imetiwa lock.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kusema kweli una lock gari ya IGP mstaafu...Watanzania wenzangu kulala na kuamka salama sio jambo dogo...kuna watu hawalali ili sisi tulale na tuamke vyema...yupo sahihi sana imagine amepiga chuma bila kuathiri tairi la gari mlitazame hili..yupo makini kiasi gani...hongera mahita
Tujaribu kuwa wakweli mwembechai mtu anakuja na panga au shoka yupo mbio anakuja kukudhuru..wewe una gun..utafanyaje...??mzoee uyo ana laana inamtafuna alimwaga sana dam enzi zake kama unakumbuka tukio la mwembe chai aliqmuru wapigwe sana risas waislam seeikal wamtazame ivo viashriq kua alikua mtu wa aina gan hana busara kashakua mzee asume pind kijana alikuaje katumia sana siraha ya moto na ndiomana hat saiv kidgo anakutolea bastola nafkir ht ndg wamshaul astembee nayo itamletea matatzo km dc mstaaf ditopile aliompga risas dereva wa daladala mwisho wke ukaw mbaya pia
Kwahiyo mimi maisha huku ngara nikija morogoro kikazi naijuia Gari yake siku hiyo hiyoMahita yupo morogoro wayback sidhani kama hata aliwahi kutoka. Mtu yyte lazma uijue gari ya huyu bwana, else wise ni dharau. Na hiyo ndio kazi ya bastola. It is too risk kufunga gari ya mtu kama huyo, risk kwake na kwako mfungaji.
Mimi tu nakushtua utumbo ukifanya hivo kwenye gari yangu kama na wadhfa wake.
Kila mtu moro anamjua mahita. Huyo nani kalifunga.
Mzee hana stress. Kama kuna wazee wanaenjoy maisha ni mahita. Kafanya kazi yake na anaenjoy muda wake.