MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia mtaalam wake kwenye mambo ya anga,anaogopa kuangushwa hvyo mtasubiri sanaSiyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘Gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of international diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
Tatizo ni pale unapouliza Magufuli anakwama wapi kwa huyu Makonda, wakati Magufuli hajawahi kuwa na consistent and coherent agenda popote.Siyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘Gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of international diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
For all I know yeye Magufuli na Makonda hawajapishana sana katika kufikiri, na sasa wanaandaa vita dhidi ya "mabeberu".
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna Rais wa hovyo haijawahi kutokea!Siyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘Gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of international diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
Atumbuliwe kwa kosa gani wewe wakati mtu anafanya kazi nzuri. Hebu nieleze biashara ya madawa ya kulevya iko kama zamani? Vijana wamenusurika wangapi. Wauzaji awamejaa korokoroni ndio hao wanalilia kichwa cha makonda. Kuna hospitali kule chanika imejengwa kwa juhudi za makonda..kuna mambo mengi ukurada hautoshi. Mwacheni makonda afanye kazi.Siyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘Gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of international diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
Kama umesoma Tintin, ni kama Thomson na Thompson.Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum [emoji1787][emoji1787].
Mjinga sana wewe praise team wa lumumba jiandaeni kwa sabotage za CIABaada ya tangazo la Serikali ya Marekani kumzuia Makonda na familia yake kupata visa ya Marekani Kuna uwezekana mkubwa huo ndiyo ukawa mwisho wa Makonda kisiasa.
Tangazo hilo halijatoa Picha nzuri kwa uongozi wa awamu ya tano na ili kurudisha heshima na mahusiano hayo tena ni Makonda kuondolewa katika nafasi ya Mkuu wa mkoa haraka Sana.
Wamerakani watakawa wametuma makachero wao ndani ya nchi Kama majasusi bila tz kujua na uwezekano wamekuja Kama watalii na kukusanya habari nyingi Sana za ndani ya mifumo ya Serikali.
Ni wakati umefika RC aondoke haraka katika nafasi hiyo.
Ni aibu kubwa sana kwa nchi kwa tangazo hilo.
Mjinga Mama yako...Mjinga sana wewe praise team wa lumumba jiandaeni kwa sabotage za CIA
Sent using Jamii Forums mobile app
TUTAELEWANA TU! Tumepiga sana kelele hapa kuhusu Serikali hii na Makonda kuuwa raia wasio na hatia mkawa mnatukejeli tu, sasa naona tunaenda pamoja.Kama asipoondolewa Kuna uwezekana mkubwa wa kupigwa ban kwa viongozi wengine. USA wana evidence na matendo yake.hawakurupuki tu.
Ni kweliHuyu ndugu akitumbuliwa atakuwa na maisha magumu sana kiusalama. Amezoea kuzungukwa na Mambosasa + IGP hivyo anajinasibu yupo salama na anakula raha za duniani.
Dogo wewe hata chuo hujaanza hivyo huwezi yajua yaulimwenguni.Kwani tz Bila marekani si tunaweza ishi sasa wasitutishe Kama vp watembee na wasitubabaishe na uyo makonda ni kwamba hizo haki za binadamu anawezaje kuvunja za marekani za Tanzania ambapo ndio kwao hasizivunje???
Sent using Jamii Forums mobile app