Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

Mbona wanasema jamaa ni Mtaalam ana CV kubwa na ma exposure ya kutosha UN nk? Alafu umri pia ushaenda Kwa hiyo hata kustaafu si Alisha jiandaa kisaikolojia au siku ya kuloa na mvua ndio siku ya kujilojolea? Kwa kuwa mjomba Magui alimuharibia ugali ndio ishakuwa ishu
 
Prof yuko sawa mbona kinachomliza ni kuhusu marehemu mke wake, wewe boya la wapi
 
Kwishaaaaaaaaa
Labda ajiunge machozi bandπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana tunahitaji Katiba Mpya.
 
Hana huo mpango wa kurudi kua CAG, ila anataka mahakama iweke on record kua kuondokewa kwako was unconstituitional ili serikali zijifunze next time, wasifanye vitu vya kipumbavu kama hivo.
 
Siyo kweli. Alilia kwa kumbukumbu ya marehemu mke wake siyo kwa sababu ya u-CAG. Angalia vizuri hiyo video. Labda kama unarejerea jambo lingine.
Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo. Tunapolalamika kwa jambo lolote maana yake tunamlaumu Mungu.
 
Beira...
"Asalaam Aleikum."
Jibu ni "Waleikum Salaam."
Mzee said Tanganyika na Zanzibar yalikuwa mataifa na kiislam hawa wakristo wa leo waliomo kwenye hayo mataifa ambao wanaonekana ndo wengi zaid ya waislam except Zanzibar walitokea wapi
 
Afya ya Akili is real na KARMA IS REAL
Watu huko Chamani wana tabia ya kuharibia wenzao reputation zao ukitofautiana nao kwa hoja πŸ™„
You never know what happened to Profesa behind the scenes !
MUNGU ANAWAONA
NA MARADHI YATAENDELEA KUWATAFUNA WAHUSIKA WOTE WA UDHALILISHAJI πŸ™ŒπŸ™πŸ™
 

INAWEZEKANA KABISA AISEEE......
 
Hizi ndio zinaitwa projection. Clearly lesser people projecting their inadequacies on a man that is objectively superior than them. Upuusi wa kitanzania. Somesheni watoto zenu na muwape malezi Bora kuliko mliopewa
 
Sikweli unayonena,alitoa mchozi juu yakifo chamkewake kwamba mkewake sikuhiyo kama angekuwepo nyumbani asingefariki sababu walishamjulia chakufanya akizidiwa
Kuna uwezekano huyu Mnafiki Assad nae alisherekea kifo cha Magufuli hajui kuwa ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji!
 
Inawezekana pia sababu yeye waandishi wanamfuata kumuhoji....ndo maana anafunguka.Si kuna wengine walijifia kabisa inasemekana..bora yeye bado anapumua.
Pia wengine hamfikiwi kuhojiwa hamna pa kushushia jazba labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…