DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu
Wewe unamatatizo ya akili. Upo hapo Dar na kina lokole na machoko kibao hulalamiki. Unakuja kulalamika mtu anakuja kwa ajili ya mambo yake. Ni sheria gani kavunja? Kama ni tako si ni lake au umeshawishika? Unataka dada zako waende uturuki kila siku? Embu vitu vingine mtumie akili. Ata kama hupendi ushoga, sheria lazima ifuatwe. Sioni shida yeye kuja! Kama ni ushawishi anao sana bila ata kufika bongonyoso.
 
Nenda na wewe kaongoze
 
Mnampambania upinde wenu nnenda na wee kakuze kalio
Akili kisoda, upinde wa jamaa ni nini??
Hivi hujui bodybuilders ndo mapunga no 1, yaani kama ni mtu wa kuruka kwanja basi ushakutana na mabaunsa, walinzi wa night clubs ndo mapunga hasa na ile miili jumba yao.

Sasa wewe endelea kuangalia muonekano na kujudge moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…