Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais.
Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo.
Hapo tusimung'unye maneno, serikali Awamu ya Sita imeonyesha udhaifu mkubwa kiutawala, hasa usimamiaji wa mapato, yanayoliwa na wateule wa Rais.
Mama Samia atulie ofisini na asimamie wateule wake.