Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Wizi umekuwa mkubwa maana no checks and balance zinazotskiwa kuwepo.Noma sana yani hapo kwenye makampuni ndio watu wanapigwa!
The Tanganyika halafu una kutana na Tanganyika…ukiwa mjinga na haujali basi wewe unalipa tuu bila kujali kumbe unawapa watu hela za bure….
Sasa serikali hapa ndio inatakiwa kuwekeza kwenye kudhibiti wezi kama hawa wanaoweza kutengeneza kampuni hewa na kuipa control number….
Na watanzania tusivyo watu wakujali tunapigwa sana…yani kampuni yako inaitwa “leak” halafu wanakulete control number inayoonesha kampuni inaitwa “The leak” na sisi watanzania tusivyo watu makini na wakuhoji unatakuta mtu analipa kwenye hiyo control number ya “ The leak” kumbe ni kampuni hewa
Aiseee huu ni wizi umekisiri sana sana kwenye control number kwa watu waoga na wasio makini wanalipa tuu na unaweza kuwapigia wahusika wakakwambia hakuna shida we lipa tuu haina shida kumbe mtu amepigwa hapo…
Hii nchi ina shida sana
Mkurugenzi anapiga tu kiroho mbaya.
Isingekuwa huyo mfanyabiashara mzalendo kuibua, serikali imelala tu.