kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ripoti ya CAG ,zinamshinda sembuse kungine huku
Mkurugenzi, aliamua azungushe kwaniaba yawezake
Eti ,the tanganyika
Mkurugenzi, aliamua azungushe kwaniaba yawezake
Eti ,the tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wataalam wanakupa yale wanakwambia yatakulinda au yale mawe mawe yanakua na kaz zakeDuuh hii kuna issue kubwa serikali itapata madudu mengi kupitia investigation itakayo fanyika, na hii itafungua macho serikali kujua wezi wa kodi za serikali katika sehemu mbali mbali za nchi yetu.
Chambulo ni mfanyabiashara mzalendo sana, na huyo Mkurugenzi ni fisadi anaonekana tu, last time alikuwa na mapete makubwa mikono yote utadhania mganga wa kienyeji, mtumishi wa umma ana mapete makubwa vile vidoleni nilijua kabisa huyo sio kabisa.
Nadhani ndo mwenye ile KiBo toursHuyo dingilai ni chotara ya canada na tz
Ipo pale karatu inabonge ya ghorofa mazeee
Ana mawe, fweza, fubaa hatariiii Sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chit chat inakuhusu!Kwa sifa hiyo. Mi ni bora zaidi kuliko mtu wa aina yako anayejikomba kinafiki kwa kila kiongozi anayekuwa madarakani, hata kama kiongozi huyo ni boya kabisa.
Mie "...sijidai mjanja..." nakueleza tu ukweli ulivyo juu ya tabia zako mbovu hizi.
Mkuu thats a good input!Shida ni weak system ya traceability ya malipo kwenye bookeeping.
Mara kadhaa CAG amekuwa akieleza mifumo ya serikali za mitaa ina fraud risk kwakutosomana. Lakini wahusika awachukui hatua.
Si ajabu huko serikalini mpaka leo hawana accounting software, numbered documents za form za malipo and numbered receipt. Watu wanajitengenezea dublicate forms zao tu.
Safari ni ndefu sana na itazidi kuwa ngumu kwa aina ya vijana wanaopewa nafasi kubwa nchini, wengi hawana uwezo kabisa. If anything ni worse kushinda waliowatangulia.
Only god intervention will save Tanzania.
Halafu utamsikia poyoyo mmoja huko bungeni anasifia internal audit, huo mchezo lazima unashirikisha accountants wa halmashauri na mkurugenzi.