Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Watu wanalamba asali wewe tulia kimyaNoma sana yani hapo kwenye makampuni ndio watu wanapigwa!
The Tanganyika halafu una kutana na Tanganyika…ukiwa mjinga na haujali basi wewe unalipa tuu bila kujali kumbe unawapa watu hela za bure….
Sasa serikali hapa ndio inatakiwa kuwekeza kwenye kudhibiti wezi kama hawa wanaoweza kutengeneza kampuni hewa na kuipa control number….
Na watanzania tusivyo watu wakujali tunapigwa sana…yani kampuni yako inaitwa “leak” halafu wanakulete control number inayoonesha kampuni inaitwa “The leak” na sisi watanzania tusivyo watu makini na wakuhoji unatakuta mtu analipa kwenye hiyo control number ya “ The leak” kumbe ni kampuni hewa
Aiseee huu ni wizi umekisiri sana sana kwenye control number kwa watu waoga na wasio makini wanalipa tuu na unaweza kuwapigia wahusika wakakwambia hakuna shida we lipa tuu haina shida kumbe mtu amepigwa hapo…
Hii nchi ina shida sana
hii kitu kwa sasa iko sehemu nyingi sana!Noma sana yani hapo kwenye makampuni ndio watu wanapigwa!
The Tanganyika halafu una kutana na Tanganyika…ukiwa mjinga na haujali basi wewe unalipa tuu bila kujali kumbe unawapa watu hela za bure….
Sasa serikali hapa ndio inatakiwa kuwekeza kwenye kudhibiti wezi kama hawa wanaoweza kutengeneza kampuni hewa na kuipa control number….
Na watanzania tusivyo watu wakujali tunapigwa sana…yani kampuni yako inaitwa “leak” halafu wanakulete control number inayoonesha kampuni inaitwa “The leak” na sisi watanzania tusivyo watu makini na wakuhoji unatakuta mtu analipa kwenye hiyo control number ya “ The leak” kumbe ni kampuni hewa
Aiseee huu ni wizi umekisiri sana sana kwenye control number kwa watu waoga na wasio makini wanalipa tuu na unaweza kuwapigia wahusika wakakwambia hakuna shida we lipa tuu haina shida kumbe mtu amepigwa hapo…
Hii nchi ina shida sana
huwa wanakataa lakini ndio reality, wateule wa wananchi ni reflection ya mahali wanapotokaWateule wa Rais huwa ni reflection wa aliye wateua.
Nipo hapa Sparrow mashi kubwa hatareee sanaHuyo dingilai ni chotara ya canada na tz
Ipo pale karatu inabonge ya ghorofa mazeee
Ana mawe, fweza, fubaa hatariiii Sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yale Maburungutu unafikiri yanatoka wapi...Think deeplyView attachment 2994308
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais.
Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo.
Hapo tusimung'unye maneno, serikali Awamu ya Sita imeothesha udhaifu mkubwa kiutawala.
Mama Samia atulie ofisini na asimamie wateule wake.
Ndio swaga zetu za Chuga Chalii wanguu na mawe yote aliyonayo lkn yuko simple Dingiii.Huyo dingilai ni chotara ya canada na tz
Ipo pale karatu inabonge ya ghorofa mazeee
Ana mawe, fweza, fubaa hatariiii Sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna mwizi hapo...View attachment 2994308
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na wateule walewale wa Rais.
Tumesikia kuwa kule Mbeya mtandao kama huo ulikuwepo.
Hapo tusimung'unye maneno, serikali Awamu ya Sita imeothesha udhaifu mkubwa kiutawala.
Mama Samia atulie ofisini na asimamie wateule wake.
Tulia wewe hupendi kulamba asaliDah! Hii nchi! Mama yuko uarabuni anatembeza bakuri ili hali nyumbani kwake watu wanakwiba wala haoni!! Shameful!
Ngoja tulambe asali sisi dingilaiNipo hapa Sparrow mashi kubwa hatareee sana
Future ya Tanganyika ni mbaya sana kutokana na kukosa viongozi wenye maono. Nchi inaliwa vibaya sana huku umaskini wa raia ukizidi kutamalaki.View attachment 2994308