Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

Wizi umekuwa mkubwa maana no checks and balance zinazotskiwa kuwepo.
Mkurugenzi anapiga tu kiroho mbaya.
Isingekuwa huyo mfanyabiashara mzalendo kuibua, serikali imelala tu.
 
hii kitu kwa sasa iko sehemu nyingi sana!
yaani unapewa control number ya taasisi au shirika la serikali, unalipa lakini kumbe hela inakwenda kwenye mifuko ya wenzetu wajanja wachache!!
Me naona kabisa shida ni sisi watanzania ni either hatulipi kodi kuhalali ndio maana hatuwezi kuhoji kama huyo mzee au tunakula nao hao jamaa wa halmashauri!
 


Duuh hii kuna issue kubwa serikali itapata madudu mengi kupitia investigation itakayo fanyika, na hii itafungua macho serikali kujua wezi wa kodi za serikali katika sehemu mbali mbali za nchi yetu.

Chambulo ni mfanyabiashara mzalendo sana, na huyo Mkurugenzi ni fisadi anaonekana tu, last time alikuwa na mapete makubwa mikono yote utadhania mganga wa kienyeji, mtumishi wa umma ana mapete makubwa vile vidoleni nilijua kabisa huyo sio kabisa.
 
Aisee mjini ni shule sana.

Acheni tu,watu wanajua sana,haijaanza leo hii.
 
Ipitishwe sheria ya kuuwa majizi kama China
 
Serikali ya mabwege hutengeneza wezi tu.
 
Hivi jamani Kuna mtu humu amewahi ku-scan barcodes za risiti za Jiji,halo ni wizi mtupu!
 
Mama Samia atulie ofisini na asimamie wateule wake.
Yale yale ya siku zote.

Sasa unataka akuonyeshe vipi ndipo utambue kuwa hana uwezo? Hapa unaweka visababu visivyo husiana kabisa na unachokilalamikia. "Atulie ofisini...", kwani hili nalo mpaka akumbushwe au ahimizwe?

Kiongozi afanye nini ndipo ujue kuwa hana uwezo wa kuongoza nchi?

Kazi kila siku kufumbafumba tu, sijui hizi tabia zinatoka wapi?
 
Majizi hayajaanza awamu hii hata Magu walimpiga sana kwa kumsifia sana na walikuwa wanafurahia maisha baadhi yao

Tatizo ni makuzi ya wengi wao, na pia ukikulia umasikini ukaja kuziona ukubwani unachanganyikiwa ila aliekulia kwenye maadili na hela anaona kawaida tu
Sasa mtu anaiba 2b zote alizopewa kwa ajili ya miradi ni mzima huyo au kawehuka kuziona zote hizo
Huwa hamjui kula kidogo kama mlivypambiwa mnalamba zote
Kweli mnataka udikteta wa kuwasweka miaka 30 au kuuwa kabisa
 
Kwani si ulisoma POLISI TRAFIC wamekuwa na control number tofauti na za uhalisia na mamilioni yamepigwa kwenda mbele! Yaani wanakuandikia hapo barabarani unaenda kulipia kumbe namba ni za kwao hazipo kwenye system kabisa.

Na ndio maana kunatakiwa mtandao wa kiserikali uwe unasomana!

Na kuwe eneo zote mfano RITA, NIDA, AFYA, LESENI ya Dereva nk kote huko kunatakiwa kusomana.
Hii biashara ya mtu anaenda RITA anaambiwa nenda NIDA yaani kuzungushana na kupotezeana muda.
System ziwe zinasomana tutapunguza kuwasumbua wananchi kutwa barabarani.

NIDA Ile ofisi ni za balaa na hatuelewi wqnachokifanya mle ndani kutoa namba badala ya kadi.
WafanyakaI wenyewe ndio waharibifu wa hili zoezi.
Serikali na hasa mkurugezi na waziri mhusika kaeni na money haya mambo si sahihi. !
 
Hivi unajua maana ya neno "Wizi wa Kimtandao"
Huu ukifika bongo, ni kesi kama hizi ndio tutasema "Wizi wa Kimtandao"


View: https://www.youtube.com/watch?v=mCX-Px7H4h4
 
Hakuna mwizi hapo...
Yaani Maza siku hizi Anaonekana kuwa na furaha akiwa njd ya nchi. Akiwa Bongo Anaonekana kuchoka na mwenye mawazo. Hata kuonekana umekuwa ni shida... Anaikimbia hata mikutano ya chama.....!!?
 
Sasa pale juu si ukakae wewe unayejua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…