Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

Si ajabu nchi inapitia wakati mgumu sana kiuchumi.
Hongera sana Mh. Paul C. Makonda kwa angalau kuionesha "mifumo" jinsi nchi inavyopigwa.
Kwa hili kwa kweli kama Taifa, hatukudai chochote.
Mungu akubariki sana pamoja na Mr. Chambulo.
 
Halafu bahati mbaya tuliyo nayo kama Taifa, ni watendaji wengi wa serikali yetu wana roho ya kisasi kama ya Mkurugenzi wa Arusha.
Wakiambiwa madudu yanayofanyika, wanakutafutia "angle" ili uingie matatani, kitu ambacho kinawaogopesha walio wengi kufichua maovu ili wasijikute matatani.
Halafu, hivi wale jamaa wa Mbeya wao suala lao liliishaje?
Kama hakuna chochote kimefanyika, basi acha tu tuendelee kupigwa
 
Ni ku-audit tax payers kila mara, na kuweka mifumo, mifumo iwe inakutana, kama jina la kampuni, mfumo wa Brela ukutane na wa Tamisemi, jina likigongana, mfumo ukatae, mifumo, mifumo, mifumo, idhibiane yenyewe kwa yenyewe, this country needs strong institution, not strong people.

Tuliwahi kuwa na Mwaibula Dar es Salaam, lakini sasa tuna mifumo,.sio Mwaibula
 
Mkuu usiwe na wasi wasi juu ya mambo ya haki kisheria kama una haki zako.
Sisi tuliwahi mshitaki Mkurugenzi wa JIJI DSM, hadi aliomba poo!
 
Hueleweki,
 
mkuu unajua procedure za kutengeneza control number
All in all, Alichofanya makonda kuanzisha uchunguzi ni sahihi ama la. Kumbuka amesema wakikutwa hawana hatia watarudi kwenye nafasi zao.
 
Ebu semeni ukweli ni wapi hakuna wizi?
Kila mtanzania ni mwizi bila kujali anacheo au hapana hata huko kwenye nyumba za ibaada kuna wizi mkubwa sana.
 
Wizi umekuwa mkubwa maana no checks and balance zinazotskiwa kuwepo.
Mkurugenzi anapiga tu kiroho mbaya.
Isingekuwa huyo mfanyabiashara mzalendo kuibua, serikali imelala tu.
Huyo mfanyabiashara apewe ulinzi,kuanzia sasa hivi lazima atakua ana windwa na wasiojulikana ili awe eliminated baada ya kumwaga.mboga ya watu!!
 
Huyo mfanyabiashara apewe ulinzi,kuanzia sasa hivi lazima atakua ana windwa na wasiojulikana ili awe eliminated baada ya kumwaga.mboga ya watu!!
Ni kweli mkuu, kajitolea mhanga kuibua wizi ndani ya serikali.
Na si ajabu waliokuwawanafaidika na wizi huu, akubwa wamo!
 
Usipoteze lengo. Sijadai nataka niwe pale juu; lakini najuwa kwa tabia zako hizi yeyote akiwa hapo juu bado tabia zako zitakuwa vilevile kama zilivyo sasa.
Huwa unajidai mjanja lakini huna unalojua!
Hujawahi kuwa na a positive contribution in anything, thats how backwards you are.
 
Huwa unajidai mjanja lakini huna unalojua!
Hujawahi kuwa na a positive contribution in anything, thats how backwards you are.
Kwa sifa hiyo. Mi ni bora zaidi kuliko mtu wa aina yako anayejikomba kinafiki kwa kila kiongozi anayekuwa madarakani, hata kama kiongozi huyo ni boya kabisa.
Mie "...sijidai mjanja..." nakueleza tu ukweli ulivyo juu ya tabia zako mbovu hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…