Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

Ripoti ya CAG ,zinamshinda sembuse kungine huku

Mkurugenzi, aliamua azungushe kwaniaba yawezake

Eti ,the tanganyika
 
Kuna wataalam wanakupa yale wanakwambia yatakulinda au yale mawe mawe yanakua na kaz zake
 
Embrace the freedom of casual encounters on the best dating app in town!
Harmony of intimacy, uninhibitedness with mutual consent
Real-life Females
Top-notch casual Dating
 
Shida ni weak system ya traceability ya malipo kwenye bookeeping.

Mara kadhaa CAG amekuwa akieleza mifumo ya serikali za mitaa ina fraud risk kwakutosomana. Lakini wahusika awachukui hatua.

Si ajabu huko serikalini mpaka leo hawana accounting software, numbered documents za form za malipo and numbered receipt. Watu wanajitengenezea dublicate forms zao tu.

Safari ni ndefu sana na itazidi kuwa ngumu kwa aina ya vijana wanaopewa nafasi kubwa nchini, wengi hawana uwezo kabisa. If anything ni worse kushinda waliowatangulia.

Only god intervention will save Tanzania.

Halafu utamsikia poyoyo mmoja huko bungeni anasifia internal audit, huo mchezo lazima unashirikisha accountants wa halmashauri na mkurugenzi.
 
Kwa sifa hiyo. Mi ni bora zaidi kuliko mtu wa aina yako anayejikomba kinafiki kwa kila kiongozi anayekuwa madarakani, hata kama kiongozi huyo ni boya kabisa.
Mie "...sijidai mjanja..." nakueleza tu ukweli ulivyo juu ya tabia zako mbovu hizi.
Chit chat inakuhusu!
Level yako ya competence!
 
Mkuu thats a good input!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…