Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Hii serikali ovu ya samia ambayo haikuchaguliwa haiwezi kuwa na mpango wowote wa faida kwa watanzania wanaonyanyaswa huko afrika kusini.
 
Hivi SA police officers wanafanya kazi gani? Lawlessness imetamalaki sana huko!
 
Wazansi ndio wazulu mkuu? Nipe elimu
 
Nisiposema hili sitakuwa nimetendea nafsi yngu haki na ninaweza kukosa hata usingz. Hao wabongo ndn hao hao wanaotuchamba kuwa huwezi kutoboa maisha bila kutoka, hao hao walituacha tukipambana na hali zetu since mo29, ndio hao wanaosema srically ipo sawa kiko wapi, ni hao hao wanaosema maisha ya bongo hayafai na mengne mengi. Ngoja wapigwe tena sana. Piga those nyang'aus. Sasa nimepumua kwa kusema hilo jambo. Rip bongos of madiba and nelly.
 
Fact kuna watu ni wafanyabiashara wakubwa wamelazimishwa wafunge biashara zao hili sakata linawapata wote hakuna cha tajiri wala masikini wanachoma hadi magari
 
Swali ni, je hao watanzania wenyewe waliopo huko wapo tayari kurudi?
 
Watanganyika tumelaaniwa, polisi wa sa100 hapahapa bongo wanatupiga na kuua raia bila sababu, watanganyika wenzetu huko South nako wanapasuka vibaya na polisi. Hii kama siyo laana ni kitu gani
 
Hao wazansi hawajaitengeneza nchi pumbavu nchi imejengwa nawazungu
 
Msenge mimi nipo na mama yako nampelekea moto na kumfira,oya mama ako anajua kuikatikia vizuri na nimtamu balaa
Naona umeishiwa,unaanza kunicopy tu,
Siku nyingine ukiona uzi unaongelea mambo usiyo yataka,pita kule,
hujaitwa hapa,nenda kampangie mumeo jinsi ya kuanzisha nyuzi,

JF is an open forums,kila mtu yupo huru kuanzisha uzi au mada aitakayo,
Sasa wewe kiazi acha kujipa mamlaka ya kuwapangia watu vitu vya kujadili,
Umekomaa kuuonyesha umma hapa jinsi ulivyo kilaza na hamnazo.
 
Acha usenge ,ndio maana nimekufira hadi umejinyea
 
Franck Zulu anaelezea suala muhimu unapokwenda nchi ya kigeni, kuna vitu unatakiwa kufahamu na siyo kulia ni ubaguzi, hupendwi, hujui lugha ya wenyeji n.k Atoa mfano wa Japan utaona watu wengi wanaingia ktk mgahawa lakini ukitaka kuingia unaambiwa samahani mgahawa umefungwa na sekunde hiyo hiyo unaona watu wanakupita wanaingia. Hali hiyo siyo ubaguzi wa rangi au daraja lako ya jamii n.k bali ni jambo jingine kubwa usilijua


View: https://m.youtube.com/watch?v=z7lYacqTN0k
Hivyo nchini Afrika ya Kusini kuna mambo usiyoyajua wewe mgeni lakini unalazimisha kutokana na kutokuwa ubishi au kukusa ufahamu wa tofauti kubwa kati yako na wenyeji wako hata kama rangi mnafanana

Ndiyo maana baadhi ya dini za Mashariki ya mbali Japan, China, Thailand hata India huwa kwenye mahekalu yao hawafanyi juhudi yoyote kukaribisha ktk imani zao watu wasiokuwa watu wao yaani wazungu, waarabu, waafrika n.k

Siyo kwamba watu hao wa mashariki ya mbali ni wabaguzi lahasha, bali wanaona hufahamu chochote kuhusu wao, imani yao hivyo hawana tabia za kubatiza au kusilimisha au kukukaribisha katika baadhi ya migahawa yao ya kiasili ukiwa Japan kwa kuwa utapata usumbufu kuona msosi wa nyoka, vyakula vya rangi kali, vyakula visivyopikwa yaani hata 'menu' ukiletewa huelewi hiki, kile au kilichopo mbele yako ni nini


Hii huenda mbali katika biashara hizo fursa unazoona mgeni ni uchafuzi wa barabara za mijini, taxi za bodaboda ni uhayawani n.k n.k

Tuwaache waSauzi waishi wanavyotaka kama vile WaJapani n.k wanavyotaka kuishi, sisi wageni tusilazimishe wao wenyeji wakubali hulka ngeni za wakuja
 
26 Aprili 2026

Jacinta Ngobese SLAMS Media Bias About Foreigners in South Africa


View: https://m.youtube.com/watch?v=xAFXOr1x5LEWageni haramu wanakubali kupokea mshahara uliochini ya kiwango cha sheria za kazi nchini Afrika ya Kusini na kusababisha raia wa Sauzi kuwakoromoa wageni.

Ilitakiwa wageni kuungana na wenyeji katka maandamano kubana waajiri kulipa mshahara kwa viwango vinavyotamkwa na sheria ya nchi. Wageni wanatusaliti hawajiungi ktk maandamano kudai mshahara halali uliotamkwa na sheria za kazi / ajira za Afrika ya Kusini....

View: https://m.youtube.com/watch?v=WXzwJtyF42Y
 
25 Aprili 2026

WENYEJI WACHAGIZA WAGENI HARAMU WAONDOKE AFRIKA YA KUSINI, WAKAKABILIANE NA TAWALA MBOVU KTK NCHI WANAZOTOKA BADALA YA KUKIMBILIA SAUZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=NdD8DhsuohU In this powerful video, we explore the inspiring unity between South Africans citizens in defense of South Africans against stereotypes, misinformation, and unfair criticism across social media and public discussions

Katika video hii yenye nguvu ya hoja kwa ushawishi, tunachunguza umoja unaotia moyo kati ya raia wa Waafrika Kusini, huku wengi wa raia hao wenyeji wakishutumu mitandao ya kijamii ya kigeni yenye dhana potofu, taarifa potofu, na ukosoaji hasi usio wa haki unaosambaa katika mitandao ya kijamii na mijadala ya wazi ya umma kuwabagaza raia wa Afrika ya Kusini.
 
Wasouth Wana madai ya msingi ila njia wanayotumia sio.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…