SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha, Geita, Mbeya na hata Iringa.
Awamu hii nmetembelea Mwanza kutoka Dodoma ninapoishi kiukwel Mwanza ni kuzuri sana wazee wenzangu Almost the whole city looks nourishing and amazing.
Tatizo kubwa ni Infrastructures hasa kwa maeneo nliyobahatka kufikia kbs (NATIONAL) kuna mtaa unaitwa Mahina aseeh roads ziko very poor & rough mji umepangika vizuri shida ni barabara mbovu hasa kipindi hiki cha bogi ndio kabisa bajaji wanasusa kubeba abiria kisa barabara mbovu.
Kitu kingine ni taa za barabarani Mwanzoni mwa Mji Usagara/ Buhongwa kama sijakosea, Inashangaza sana kuona mji kama Mwanza unakosa taa za barabara tena barabara kuu kbs yakuingia mjini na bado haitoshi barabara nako ni mbovu sijapata kuona sijui Wahusika wa Jiji hili hawaoni wenyeji nao ukiwaeleza wanakwambia tumezoea hvohvo wataweka wakitaka Come on!
Viongozi wa Jiji la Mwanza hii ni aibu kwa Jiji lenu fanyeni kitu ingawa ,jifunzeni hata kwa Dodoma kule sshv sio kama zamani.
NB: Sipo kwa ajili ya kuwananga watu wa Mwanza.