Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Labda Pumbuh au nasema uongo bwana Cooper?Umebana nini?
😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Pumbuh au nasema uongo bwana Cooper?Umebana nini?
Katikati ya mji pafinyu, Mfano nyerere road Ile ni tabu.Umebana nini?
Kariakoo vpKatikati ya mji painful, Mfano nyerere road Ile ni tabu.
Well said...Kitu kingine ni taa za barabarani Mwanzoni mwa Mji Usagara/ Buhongwa kama sijakosea, Inashangaza sana kuona mji kama Mwanza unakosa taa za barabara tena barabara kuu kbs yakuingia mjini na bado haitoshi barabara nako ni mbovu sijapata kuona sijui Wahusika wa Jiji hili hawaoni wenyeji nao ukiwaeleza wanakwambia tumezoea hvohvo wataweka wakitaka Come on!
Suluhisho ni serikali ya MAJIMBO ili kila mtu apate keki utaiona kanda ya ziwa na Magharibi zikipaa kwa sasa wacha zinyonywe na mikioa km Arusha,Dar na Dodoma zilambe asali bila aibu na Unguja imeongezeka. Huku wananchi wamezubaa.ni maoni binafsiKulikuwa na bado kuna umakusudi wa serikali kutelekeza miji yote ya kanda ya ziwa! Utajiri wa kila aina uliojaa kanda ya ziwa na idadi kubwa ya watu kuwa huko kunawapa serikali hofu kwamba wakipaendeleza huenda miji /mikoa mingine ikabaki tupu.
Mwanza mathalani, ni jiji la pili kwa ukubwa kwa kila kitu including mapato. Lakini pesa inakusanywa inaenda kujenga Dar ( ambayo tayari kuna gateways mbili za bandari na airport kuu).
Jiji la mwanza kimsingi linajijenga, kama mzawa japo siishi huko hivi sasa, sijawahi kuona juhudi yoyote ya serikali zaidi ya politics za kutafuta kura. Ukienda kagera napo kwa sababu pengine ya kuwa na wasomi wengi sana hasa nyakati za mwanzo wa uhuru, Nyerere alikusudia kwa makusudi kudhohofisha mkoa huo kwa kutopeleka maendeleo yoyote na hata wasomi hao kupelekeshwa puta katika usalama wa Taifa ili kuchunguzana (mtego ambao wakwe zangu wachaga walistukia) baada ya kuona yanayoendelea Kagera.
Siku moja mikoa yote ya kaskazini (North East na Nortwest) Kagera, Geita, Mara, Mwanza, Arusha,Shinyanga na Kilimanjaro inapaswa kudai uhuru wao na kuanzisha Taifa huru kwasababu wananyonywa mno.!
Madini yote ya nchi hii yanatoka huko, sijataja mbuga za wanyama lakini Takwinu zinatueleza ati watu wa chini ya dollar moja wengi wanatoka huko. Dharau mbaya sana hii.
Bado mnepiga kelele mbona wanapendelea Mwanza ni heri tu wamejenga na uamzi huo ni sahihi kabisa! Kwa viongozi vilaza kama hawa wa sasa hata miaka 50 ijayo wasingeweza kujenga daraja hilo! Hongera JPM na Samia!Ila kweli kwa billion 700 wangejenga double roads za kufa mtu hapo mwanza East africa nzima wangeeiimba mwanza
Yule Rais wao hakuwa na Akili.Hizo.pesa zingefumua Jiji zima na lingevutia sana hata biashara
Wewe Kwa akili Yako mbovu,Mwanza ilihitaji Hilo daraja zaidi ya Barabara za kufungua Jiji Mitaani? 😂😂Wewe unapenda kulaumu tu kila kitu! hivi unadhani kama hiyo hela ingetengwa kujenga barabara za Mwanza wewe ungejnga mkono?
Acheni unafiki na ujinga Mwanza kama ilivyo Dar na Daraja la Tanzanite na Kigamboni licha ya ubovu wa barabara kibao hapa mjini Dar ila serkali bado iliamua kujenga!
Kwa hiyo Mwanza kujengewa Daraja sio lazima iwe na barabara kama unavyotaka wewe!
Kila jambo na wakati wake na hakuna namna ya kufanya juu ya maamzi ya serkali!
Busisis iko kijijini ila ni nje kidogo tu ya mji na nikiungo kikubwa cha Jiji la Mwanza na mikoa jirani ikiwa ni pamoja na nchi za Rwanda,Burundi ,DRC na Uganda! Ulitaka daraja liwe mjini ili iweje liko pale kulingana na nature ya ziwa! Wewe kijana akili zako bado ndogo sana!Wewe Kwa akili Yako mbovu,Mwanza ilihitaji Hilo daraja zaidi ya Barabara za kufungua Jiji Mitaani? 😂😂
Kapiteni Sasa mnamlalamikia nani? Focus ya Serikali ni Dar,Dom na kiasi Kwa Arusha.
Bil.700 zilitosha kuweka lami Kila mtaa hapo Mwanza zaidi ya km 500 Mjini zingebadili taswira ya Jiji ila kuweka kadaraja 1 tena Kijijini huko ni useless.
Kadaraja? hivi uko sawa kweli wewe..yaani bilion 700 unasema kadaraja?Wewe Kwa akili Yako mbovu,Mwanza ilihitaji Hilo daraja zaidi ya Barabara za kufungua Jiji Mitaani? [emoji23][emoji23]
Kapiteni Sasa mnamlalamikia nani? Focus ya Serikali ni Dar,Dom na kiasi Kwa Arusha.
Bil.700 zilitosha kuweka lami Kila mtaa hapo Mwanza zaidi ya km 500 Mjini zingebadili taswira ya Jiji ila kuweka kadaraja 1 tena Kijijini huko ni useless.
Sana kwakweli..hizo barabara watajenga tuMwanza ni kuzuri sana.....
Hakika Madamu wameomba wenyewe lidhaa ya kutuongoza naamin watajenga tu tena haitachukua mda!Sana kwakweli..hizo barabara watajenga tu
Maoni yako nmeyatafakari sana sjui ni kwann umewaza hv mkuu.Kulikuwa na bado kuna umakusudi wa serikali kutelekeza miji yote ya kanda ya ziwa! Utajiri wa kila aina uliojaa kanda ya ziwa na idadi kubwa ya watu kuwa huko kunawapa serikali hofu kwamba wakipaendeleza huenda miji /mikoa mingine ikabaki tupu.
Mwanza mathalani, ni jiji la pili kwa ukubwa kwa kila kitu including mapato. Lakini pesa inakusanywa inaenda kujenga Dar ( ambayo tayari kuna gateways mbili za bandari na airport kuu).
Jiji la mwanza kimsingi linajijenga, kama mzawa japo siishi huko hivi sasa, sijawahi kuona juhudi yoyote ya serikali zaidi ya politics za kutafuta kura. Ukienda kagera napo kwa sababu pengine ya kuwa na wasomi wengi sana hasa nyakati za mwanzo wa uhuru, Nyerere alikusudia kwa makusudi kudhohofisha mkoa huo kwa kutopeleka maendeleo yoyote na hata wasomi hao kupelekeshwa puta katika usalama wa Taifa ili kuchunguzana (mtego ambao wakwe zangu wachaga walistukia) baada ya kuona yanayoendelea Kagera.
Siku moja mikoa yote ya kaskazini (North East na Nortwest) Kagera, Geita, Mara, Mwanza, Arusha,Shinyanga na Kilimanjaro inapaswa kudai uhuru wao na kuanzisha Taifa huru kwasababu wananyonywa mno.!
Madini yote ya nchi hii yanatoka huko, sijataja mbuga za wanyama lakini Takwinu zinatueleza ati watu wa chini ya dollar moja wengi wanatoka huko. Dharau mbaya sana hii.
Bado npo Mwanza week ya pili sasa, sijaona kama mji umebana nahis yale mawe ndio hukufanya uone hvo, mji umeachia tena vzr tu nenda had buswelu huko ndio utajua.Mji wenyewe umebana balaa, Poor mwanza.