Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

Wasukuma ukiwawekea taa si watakua wanalipishwa kuzitumia? Imagine kuna mwamba alikua analipisha kuangalia zile billboard za TV....
 
mkuu hujafika tarime
mji unafikika kirahisi ktokea popote, iwe arusha unapita mbuga mbili,serengeti na ngorongoro
iwe ni kutokea mwanza ,mabasi ya uhakika ,masafi yenye ushindani wa hali ya juu
karibu tarime pia
hali ya hewa ni kama lushoto na tukuyu
Iko siku nitafka mkuu Inshaallah.
 
Uko sahihi mkuu ila kumbuka Dodoma ni Capital city kwhivyo ni haki yke kupata vyote ilivyonavyo sshv, Karibu sana Dom mzee.
 
Kulikuwa na bado kuna umakusudi wa serikali kutelekeza miji yote ya kanda ya ziwa! Utajiri wa kila aina uliojaa kanda ya ziwa na idadi kubwa ya watu kuwa huko kunawapa serikali hofu kwamba wakipaendeleza huenda miji /mikoa mingine ikabaki tupu.

Mwanza mathalani, ni jiji la pili kwa ukubwa kwa kila kitu including mapato. Lakini pesa inakusanywa inaenda kujenga Dar ( ambayo tayari kuna gateways mbili za bandari na airport kuu).

Jiji la mwanza kimsingi linajijenga, kama mzawa japo siishi huko hivi sasa, sijawahi kuona juhudi yoyote ya serikali zaidi ya politics za kutafuta kura. Ukienda kagera napo kwa sababu pengine ya kuwa na wasomi wengi sana hasa nyakati za mwanzo wa uhuru, Nyerere alikusudia kwa makusudi kudhohofisha mkoa huo kwa kutopeleka maendeleo yoyote na hata wasomi hao kupelekeshwa puta katika usalama wa Taifa ili kuchunguzana (mtego ambao wakwe zangu wachaga walistukia) baada ya kuona yanayoendelea Kagera.

Siku moja mikoa yote ya kaskazini (North East na Nortwest) Kagera, Geita, Mara, Mwanza, Arusha,Shinyanga na Kilimanjaro inapaswa kudai uhuru wao na kuanzisha Taifa huru kwasababu wananyonywa mno.!

Madini yote ya nchi hii yanatoka huko, sijataja mbuga za wanyama lakini Takwinu zinatueleza ati watu wa chini ya dollar moja wengi wanatoka huko. Dharau mbaya sana hii.
 
Kwahiyo serikali ikiwanyonya hizo hela inapeleka mikoa gani?
 
Punguza ushamba na utoto mkuu uzi wangu sio wakuwanangia watu, mm n mtu mzima najiheshimu na ninaheshimu kila mtu na kabila lake....!
Ungekua mtu unayejiheshimu usingeniita mshamba na mtoto.

Ukishaweka uzi JF sio wako ni wa JF hutupangii cha kujibu. Wewe umewaza miundombinu wengine tunawaza matukio.

Chilax na enjoy JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…