Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

Well said...
Baada ya Dar hakuna JiJi kama Mwanza.
Chuga is an affiliated Municipal
 
Suluhisho ni serikali ya MAJIMBO ili kila mtu apate keki utaiona kanda ya ziwa na Magharibi zikipaa kwa sasa wacha zinyonywe na mikioa km Arusha,Dar na Dodoma zilambe asali bila aibu na Unguja imeongezeka. Huku wananchi wamezubaa.ni maoni binafsi
 
Ila kweli kwa billion 700 wangejenga double roads za kufa mtu hapo mwanza East africa nzima wangeeiimba mwanza
Bado mnepiga kelele mbona wanapendelea Mwanza ni heri tu wamejenga na uamzi huo ni sahihi kabisa! Kwa viongozi vilaza kama hawa wa sasa hata miaka 50 ijayo wasingeweza kujenga daraja hilo! Hongera JPM na Samia!
 
Wewe unapenda kulaumu tu kila kitu! hivi unadhani kama hiyo hela ingetengwa kujenga barabara za Mwanza wewe ungejnga mkono?

Acheni unafiki na ujinga Mwanza kama ilivyo Dar na Daraja la Tanzanite na Kigamboni licha ya ubovu wa barabara kibao hapa mjini Dar ila serkali bado iliamua kujenga!

Kwa hiyo Mwanza kujengewa Daraja sio lazima iwe na barabara kama unavyotaka wewe!

Kila jambo na wakati wake na hakuna namna ya kufanya juu ya maamzi ya serkali!
Yule Rais wao hakuwa na Akili.Hizo.pesa zingefumua Jiji zima na lingevutia sana hata biashara
 
Wewe Kwa akili Yako mbovu,Mwanza ilihitaji Hilo daraja zaidi ya Barabara za kufungua Jiji Mitaani? πŸ˜‚πŸ˜‚

Kapiteni Sasa mnamlalamikia nani? Focus ya Serikali ni Dar,Dom na kiasi Kwa Arusha.

Bil.700 zilitosha kuweka lami Kila mtaa hapo Mwanza zaidi ya km 500 Mjini zingebadili taswira ya Jiji ila kuweka kadaraja 1 tena Kijijini huko ni useless.
 
Kwahiyo bwana choice ulishafika pale ukaona lile daraja ni useless labda kama ulikua hufahamu lile daraja linatuunganisha na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda na Congo pia mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma n.k Serikali ingeendekeza Mitazamo kama yenu leo hii kusingekuwa na Daraja la Mkapa kwa mikoa ya Kusini na Daraja la Wami kwa Mikoa ya Kaskazini labda shida iwe kwa Mikoa yetu ya kanda ya ziwa kwa vile mmezoea kutuonea
 
Kwangu mimi JPM alikua sahihi, Mzigo Mzito mpe Mnyamwezi tofauti na yeye ingelichukua Karne kadhaa zijazo kujengwa kwa kisingizio cha Budget, Barabara kujengwa na kupanuliwa zitajengwa tu kwa kelele zetu wananchi madam viongozia tuliwachagua hivyo vipo ndani ya uwezo wao
 
Busisis iko kijijini ila ni nje kidogo tu ya mji na nikiungo kikubwa cha Jiji la Mwanza na mikoa jirani ikiwa ni pamoja na nchi za Rwanda,Burundi ,DRC na Uganda! Ulitaka daraja liwe mjini ili iweje liko pale kulingana na nature ya ziwa! Wewe kijana akili zako bado ndogo sana!
 
Kadaraja? hivi uko sawa kweli wewe..yaani bilion 700 unasema kadaraja?
 
Maoni yako nmeyatafakari sana sjui ni kwann umewaza hv mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…