Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

vipi mkuu kuhusu chattle ,miundombinu ikoje?
 
Point yako nmeielewa mkuu kwa barabara zile bora tu raia wangeendelea kutumia ferry na hizo pesa wakajenga infrastructures za roads Jiji lingewaka sana tofaut na sshv barabara za mtaa zinakera san Mwanza aseeh zinatia hasira.
 
Point yako nmeielewa mkuu kwa barabara zile bora tu raia wangeendelea kutumia ferry na hizo pesa wakajenga infrastructures za roads Jiji lingewaka sana tofaut na sshv barabara za mtaa zinakera san Mwanza aseeh zinatia hasira.
Hiyo ndio point yangu na invebadili taswira nzima ya Jiji la Mwanza na kuwa Mji wa Kisasa then Hilo la Daraja ndio lingefuta let say kuanzia 2030 huko
 
manthari ya ziwa victoria yameipendezesha imagine mbeya mjini kungekuwa matema beach.
Ungevutia mji wowote uliopo kando ya bahari, ziwa na mto kuna kitu kinaongeza uzuri.
Miji kama Tanga,Mtwara,Linda ingejengwa kama Mwanza ingepunguza msongamano wa watu Dar
 
Mwanza iko vizuri sana ttzo ndio hivyo miundo mbinu..stendi za mabasi nyamongoro na nyegezi ni nzuri kuliko airport dah
 
 
Hii barabara ya Buzuruga Hadi Kona ya Bwiru na Kiloleli taa haziwaki Manispaa inakusanya fedha tu daily inapeleka wapi? DED Ilemela ajitathmini na Kuna barabara ya Nyasaka kanisani kwenda miti mirefu kupitia Nyamhuge ofisi ya mtaa nayo ni barabara kubwa ya kuunga kata 3 yaani Nyasaka,Buzuruga na Mabatini haipitiki Kwa gari hata boda zinapita kwa kibishi na kina sehemu hazipiti kabisa ni suala la greda kupita na kuweka miundo mbinu sawa kuchonga na kutengeneza mitaro,DED Ilemela na wataalam wako msikae na kujifungua tu ofisini pls
 
Mwanza iko vizuri sana ttzo ndio hivyo miundo mbinu..stendi za mabasi nyamongoro na nyegezi ni nzuri kuliko airport dah
Shida nyingine kubwa ni Uwanja wa ndege Zero kabisa. Tutaonana 2025.
 
Pamoja na yote ila jiji ni chafu sana

Mtu akiwa masikini basi ajitahidi hata kuoga
 
Yaah ninkweli mm pia last year ndio ilikuwa mara ya kwanza kufika mwanza nilishangaa jiji kubwa tu na nzuri sana ila nyumba zao hazina mpangilio ila ni jiji kubwa sana huwezi kufananisha na arusha
 
Bugando-Mahina-Igoma
Ingepunguza jam .

Mecco-Kangaye-Buswelu
Ingepunguza jam.

Mkuyuni-Kanyerere-Igoma

Voil-Igogo-Bugando-Nata
Ingepunguza jam.

Hizo barabara ni mbovu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…