Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

Hao wamasai wakiachwa hawakawii kuingia na ng'ombe wao Pwani na Dar es salaam.
Mbona wamasai wasiotembea na mifugo wana move free tu?
Kama kweli wanatafuta malisho mbona hawaelekei upande wa mkoa wa Mara? Wamasai ni wahuni tu sometimes.
Sad truth
 
Wamasai wanataka kujiona wao ni kama kabila maalum.
Wao ni sawa na makabila mengine tu.
Wanakotoka masai kuna wasonjo, wambulu, wairaq, waburunge, mang'ati nk.
Lakini hapa jf kila siku mada ni wamasai tu.
Wamasai waachane na tabia ya kuzurula ovyo na mifugo.
 
Dunia inabadilika, maisha yanabadilika, ndugu zangu wamasai acheni kuishi jana na juzi fugeni kisasa, hakuna mtu atahangaika na nyie
 
Acha wanyooshwe kwasababu nao kwa muda mrefu wamewanyanyasa wakulima. Naipongeza serikali kwa kuwakomesha hawa wajinga.
 
Mama yako anatombwa na wamasai.
Nafikiri leo uwahi kupumzika ndugu yangu. Siku hazifanani. Hata mimi huwa inatokea siku nyengine naamka kwa utofauti. Suluhisho ni kuwahi kupumzika na kufanya jambo litakalokupatia furaha.
 
Wafugaji wengi wanamiliki mifugo mingi ila kuwalisha mtihani

Ova
Halafu wabahili kishenzi, anaona mtoto kumnunulia uniform aende shule ni ghali sana
Yaani hawa watu ni shida sana, wanaosumbua sana ni makabila matatu ninayoyajua
Kuna wengine wana vita na misitu na wakitenga mji wanahakikisha wanaoana sana na wanachoma misitu yote hawajali wanaona miti ni adui wa kuficha wanyama sijui

Ila lazima wadhibitiwe maana elimu hawaelewi kabisa wanaona kama unawazingua tu

Wanakuambia tangu babu na mababu walikuwa wanachoma moto so what?
Huwezi kumuelimisha mtu ambae amegongwa mhuri kwenye ubongo
 
Nimekaa sana kilosa hata wakati ule
Yale machafuko yanaanza ya wafugaji
Na wakulima hadi watu kuwana nlikuwa kule,mpaka nkala kona

Wafugaji wengi wanafuga mifugo yao
Kienyeji sana mtu Ana ngombe wengi
Kuwalisha mtihani

Zambia,kitwe sehemu moja panaitwa musenga kuna mzungu mmoja namjuwa anaitwa apollo Ana ngombe wengi sana sana na eneo kubwa analo
Hapo kachimba mabwawa ya maji,kuna mahali ngombe wanaingia kuoga maji ya dawa,kuna sehemu kawapandia majani ya kula yaani si mchezo ngombe hawatoki njeee
Ya eneo lake

Mkuu cha ajabu ardhi kubwa tunayo na hakuna anaewakataza kumiliki ila ni washenzi tu
Tatizo wanachoma misitu ili waonekane halafu wakikausha vyanzo vya maji na kukosa chakula wanahama baada ya kufanya ardhi jangwa

Tatizo sio lingine bali ni serikali ndio ya kuwalaumu pia
Bwana mifugo wapo, wataalamu wapo ila hawataki kwenda kuwaandaa na kuwafundisha
Mbona huyo mzungu kaweza na sio uzungu tu mkuu
Angalia nchi jirani kuna ndugu zetu wana Ranch za uhakika kwa sababu wamejifunza na kusaidiwa na serikali pia ni wakali na wanawaonyesha njia bora pia

Tanzania tuko nyuma sana katika ufugaji hata Ug wametuacha mbali sana

Kenya usiseme na wengi wenye hela wamehamia Zimbabwe na Botswana ambapo unapewa ardhi kubwa na mifugo yako inalindwa haswa
Police patrol kila wakati na simu moja tu hawa hapa

Ndugu zetu lazima wabadilishwe na wataalamu wetu ni njaa kwa sababu waswahili kila kitu na kila ajira ni dili

Unampigia simu bwana migugo anakuambia andaa hela ya mafuta yaani unatamani umwagie hayo mafuta

Ukiona jirani wanavyowasaidia wafugaji na kuwapa ushauri pia aina ya madawa utashangaa

Ila ipo siku tutabadilika tu maana najua wafugaji wengi wa zamani wamekufa na watoto wameuza mifugo
Wa sasa watabadilika tu
 
Tatizo sio wamasai bali wafugaji, haswa wanapokuwa na mifugo(hata wasukuma).

Huwa wanajitoa ufahamu na utu kabisa wanakuwa kama hiyo mifugo
Nin kweli uliyosema. Wafugaji ni zaidi ya watumwa nchi hii.
 
Halafu wabahili kishenzi, anaona mtoto kumnunulia uniform aende shule ni ghali sana
Yaani hawa watu ni shida sana, wanaosumbua sana ni makabila matatu ninayoyajua
Kuna wengine wana vita na misitu na wakitenga mji wanahakikisha wanaoana sana na wanachoma misitu yote hawajali wanaona miti ni adui wa kuficha wanyama sijui

Ila lazima wadhibitiwe maana elimu hawaelewi kabisa wanaona kama unawazingua tu

Wanakuambia tangu babu na mababu walikuwa wanachoma moto so what?
Huwezi kumuelimisha mtu ambae amegongwa mhuri kwenye ubongo
Wafugaji akili zao wanazijuwa wenyewe, nlipokuwa kambini milima ya lumbiji kilosa kuna mmangati fulani huko alikuwa na ngombe zaidi ya 50
Nlikuwa nachukuaga maziwa kwake
Sasa hyo mmangati alipatwa na tatizo la kiafya kwenye kujiuguza anasema sina hela,nkamwambia uza ngombe mmoja ujitibu alikuwa mbishi kweli kweli
Nkamwambia we ukifanya mchezo utakufa na ngombe utawaacha shauri zako [emoji1]
Wafugaji akili zao wanazijua wenyewe

Mkuu ni kweli hakuna mfugaji anakubali kuuza hata ndama
Kuna story zao nyingi sana hawa watu tumeishi nao wengi na wanaona mifugo kama watoto wao kabisa

Atauza mifugo kama wanaumwa au kamaliza chakula chote na hana ugali ndani
Tena anauza huku analia 😄 🤣
 
Back
Top Bottom