Nimekaa sana kilosa hata wakati ule
Yale machafuko yanaanza ya wafugaji
Na wakulima hadi watu kuwana nlikuwa kule,mpaka nkala kona
Wafugaji wengi wanafuga mifugo yao
Kienyeji sana mtu Ana ngombe wengi
Kuwalisha mtihani
Zambia,kitwe sehemu moja panaitwa musenga kuna mzungu mmoja namjuwa anaitwa apollo Ana ngombe wengi sana sana na eneo kubwa analo
Hapo kachimba mabwawa ya maji,kuna mahali ngombe wanaingia kuoga maji ya dawa,kuna sehemu kawapandia majani ya kula yaani si mchezo ngombe hawatoki njeee
Ya eneo lake
Ova
Mkuu cha ajabu ardhi kubwa tunayo na hakuna anaewakataza kumiliki ila ni washenzi tu
Tatizo wanachoma misitu ili waonekane halafu wakikausha vyanzo vya maji na kukosa chakula wanahama baada ya kufanya ardhi jangwa
Tatizo sio lingine bali ni serikali ndio ya kuwalaumu pia
Bwana mifugo wapo, wataalamu wapo ila hawataki kwenda kuwaandaa na kuwafundisha
Mbona huyo mzungu kaweza na sio uzungu tu mkuu
Angalia nchi jirani kuna ndugu zetu wana Ranch za uhakika kwa sababu wamejifunza na kusaidiwa na serikali pia ni wakali na wanawaonyesha njia bora pia
Tanzania tuko nyuma sana katika ufugaji hata Ug wametuacha mbali sana
Kenya usiseme na wengi wenye hela wamehamia Zimbabwe na Botswana ambapo unapewa ardhi kubwa na mifugo yako inalindwa haswa
Police patrol kila wakati na simu moja tu hawa hapa
Ndugu zetu lazima wabadilishwe na wataalamu wetu ni njaa kwa sababu waswahili kila kitu na kila ajira ni dili
Unampigia simu bwana migugo anakuambia andaa hela ya mafuta yaani unatamani umwagie hayo mafuta
Ukiona jirani wanavyowasaidia wafugaji na kuwapa ushauri pia aina ya madawa utashangaa
Ila ipo siku tutabadilika tu maana najua wafugaji wengi wa zamani wamekufa na watoto wameuza mifugo
Wa sasa watabadilika tu