#COVID19 Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

#COVID19 Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

Waliilazimisha Corona ije imegoma sanasana inaenda nao waliochanjwa wafanyabiashara na watu mashuhuri.
vijijini hawavai barakoa,wanaona wakubwa kwenye TV wamevaa mivitambaa mikubwa mdomoni utafikiri mabakuli.

Chanjo nayo watu wameigomea laki tatu kwa milioni 60.
Na maisha yanaenda,mleta mada ulikuwa sahihi,ni kutaka fedha ya mzungu.
 
Back
Top Bottom