kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,262
Majinuni Kama wewe una faida gani hata usipochanjwa?! Kufa tu umfuate diktetaHata wakileta hiyo chanjo watachanjwa wao ila mimi sichanjwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majinuni Kama wewe una faida gani hata usipochanjwa?! Kufa tu umfuate diktetaHata wakileta hiyo chanjo watachanjwa wao ila mimi sichanjwi
Yani hata ng'ombe anayepelekwa machinjioni anakuwa na machale fulani kuliko hao watu wanaopelekwapelekwa hivyo.Chukua mfano wa aliyekuwa/aliye Waziri wa Afya, aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara hiyo, Naibu Waziri hawa wote ni Wanasayansi na bahati nzuri ni Wataalamu wa sekta ya afya. Hebu niambie walisemaje kuhusu maombi ya siku tatu?
Sasa leo hii unapomuacha mtu huyo huyo kwenye nafasi hiyo unategemea nini?
Asilimia kuwa ya raia ni wajinga tu, wala hawaelewi nini kinaendelea, wanasikiliza kiongozi kasema nini wao ni kufuata na kutangaza.
Kuna muda unaagalia mtu ana post kitu, anaongea kitu, unaona hata ng'ombe ana nafuu kwani kuna siku ataliwa. Ni Tanzania pekee kiongozi anaweza ongea utumbo, halafu raia ambao utumbo huo uta wa affect wanaogopa kumuuliza, hata wao kujiuliza pia ni shida.Yani hata ng'ombe anayepelekwa machinjioni anakuwa na machale fulani kuliko hao watu wanaopelekwapelekwa hivyo.
Acheni mizaa tatizo hili si lakubeza, usiangamizwe kwa kukosa maarifa.Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa
View attachment 1850369View attachment 1850371
Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu
Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa
Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Wizara inawashauri wala haiwatii hofu chaguo ni lako kufuata ama kutofuata mkuuMambo ya barakoa ni mambo ya kipuuzi kabisa, tunatiana hofu tu
Shida watu ni wajinga sana mtu anashauriwa tu bado anasema anatiwa hofuUmelazimishwa kuvaa?
Katiba aisaidii. Kenya walikuwa na matatizo kama hayo. Na katiba yao mpya. SA ni mbaya zaidi. NI WATU NDIYO WENYE MATATIZO. JPM aliweza sana. Tuna mdhihaki bureeeeNdio maaana tunataka katiba mpya , itakayomwajibisha yeyote yule atakae chezea pesa za Umma awe Rais awe nani, akichezea kodi tu mahakamni.
Katiba mpya ni lazima. Kwa ustawi wetu sote kama Taifa.
Katiba mpya ni lazima, Katiba madhubuti,Katiba aisaidii. Kenya walikuwa na matatizo kama hayo. Na katiba yao mpya. SA ni mbaya zaidi. NI WATU NDIYO WENYE MATATIZO. JPM aliweza sana. Tuna mdhihaki bureeee
BARAKOA HUWEZI KUIVAA MUDA WOTE, LAZIMA TU KUNA MUDA UTAJISAHAU NA BAHATI MBAYA KWENYE FAMILIA LAZIMA UTAKUTANA NA WATOTO AMBAO WALA HAWANA HABARI NA BARAKOA. JAMBO LA MUHIMU NI KUMUOMBA ZAIDI MUNGU ATUEPUSHIE HILI JANGA LAKINI SIO KUKATAA ETI HALIPO.Hao wanaokufa walikuwa hawajajifunga barakoa?
Hayajakukuta mpuuzi weweMambo ya barakoa ni mambo ya kipuuzi kabisa, tunatiana hofu tu
Mkuu KirakaKuna muda unaagalia mtu ana post kitu, anaongea kitu, unaona hata ng'ombe ana nafuu kwani kuna siku ataliwa. Ni Tanzania pekee kiongozi anaweza ongea utumbo, halafu raia ambao utumbo huo uta wa affect wanaogopa kumuuliza, hata wao kujiuliza pia ni shida.
80% ya watu wenye umri zaidi ya miaka 16 nchini Uingereza wameisha chanja kikamilifu- dose zote mbili. Wenzetu wapo mbali sana. Hatuwezi tukajilinganisha nao. Kuvaa barakoa si lazima na si kuwatisha watu. Barakoa ni silaha mojawapo ya bei rahisi kabisa katika kupambana na UVIKO-19.34M vaccinated and 36M not vaccinated
Kuwa vaccinated sio kigezo, mbona wameambiwa wote hukuna mambo ya barakoa
Mambo ya barakoa ya kipuuzi tu
Hata ukimaliza kuchanja watu wote, haisaidii kitu. Aliyechanjwa anaambukizwa na asiyechanjwa anaambukizwa ! Hakuna tofauti!Ukifuatilia vizuri, UK walishamaliza kuvaccinate wananchi wake sisi huku tunaendelea kusema hakuna ugonjwa na mpaka leo watu hawaamini kuna ugonjwa.
Wenzetu wameshaomdoka kwenye hiyo level, sasa wanaosubiri tuanze kufa na amini nakuambia wao wakimaliza nchi zao tutakoma.
Tuendelee kubisha tu, wanapiga vaccination hawaangalii nyuma. Asiyetaka wanamuacha Ila ndio events kama hizo hairuhusiwi kuingia.