#COVID19 Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa

View attachment 1850369View attachment 1850371

Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu

Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa

Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376

IMG_8311.jpg

Acheni ubishi wa kifala raia wanakufa uko
 
Mkuu ni kwamba hujui au unajitoa ufahamu kuhusu chanjo za COVID19 walizopewa waingereza?
 
Wewe ndio mwenye jukumu la kulinda afya yako ,uvae au usivae barakoa hakuna siku mama SSH atakuja kwako kukwambia vaa!!
 
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa

View attachment 1850369View attachment 1850371

Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu

Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa

Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
KWA TULIOPO KILIMANJARO HATUWEZI KUIPUUZA CORONA MAANA TUNAONA INAVYOWAMALIZA NDUGU ZETU, MTU UNAHUDHURIA MISIBA MPAKA UNACHOKA.
NI VYEMA UKAMSHUKURU MUNGU NA UKAENDELEA KUMWOMBA SANA MUNGU CORONA ISIKUPATE WALA ISIMPATE NDUGU YAKO.
HUKU MIKOA YA KASKAZINI MAMBO NI MAGUMU KWAKWELI JAPO NASIKIA ETI KUNA MIKOA HAINA HUU UGONJWA KAMA NI KWELI WAMSHUKURU SANA MUNGU.
 
Mkuu wa mkoa analinda kibarua kwa kumfurahisha mteuaji.
Sawa tu na enzi za Mwendazake Kila kiongozi aliongea kwa kufoka.
 
Wewe ni kituko humu JF,
Comment zako ni za hovyo na hazina maana,unazunguka kwenye kila thd kuonyesha jinsi ulivyo empty set,kifupi umegeuka kua kituko hapa JF,

Huna akili timamu.
Sawa mkuu wewe unaakili nyingi sana na timamu. Unalo jingine mkuu?
 
My friend haijafikia cycle zako labda.
Nimetoka kuzika jirani yangu last week Kilimanjaro.
Kuna bwana mdogo mwingine anasoma Chuo Dodoma nae anaumwa.
Be careful!
Kinachotudanganya ni kwamba wanaougua na kupona kimyakimya ni wengi.
Ila kumbuka wewe na watu wako hamjui kama mtapata bahati ya kuugua na kupona.So be careful!
 
KWA TULIOPO KILIMANJARO HATUWEZI KUIPUUZA CORONA MAANA TUNAONA INAVYOWAMALIZA NDUGU ZETU, MTU UNAHUDHURIA MISIBA MPAKA UNACHOKA.
NI VYEMA UKAMSHUKURU MUNGU NA UKAENDELEA KUMWOMBA SANA MUNGU CORONA ISIKUPATE WALA ISIMPATE NDUGU YAKO.
HUKU MIKOA YA KASKAZINI MAMBO NI MAGUMU KWAKWELI JAPO NASIKIA ETI KUNA MIKOA HAINA HUU UGONJWA KAMA NI KWELI WAMSHUKURU SANA MUNGU.
Hao wanaokufa walikuwa hawajajifunga barakoa?
 
My friend haijafikia cycle zako labda.
Nimetoka kuzika jirani yangu last week Kilimanjaro.
Kuna bwana mdogo mwingine anasoma Chuo Dodoma nae anaumwa.
Be careful!
Kinachotudanganya ni kwamba wanaougua na kupona kimyakimya ni wengi.
Ila kumbuka wewe na watu wako hamjui kama mtapata bahati ya kuugua na kupona.So be careful!
Kwahiyo nchi kama UK ambao hawajachajwa na kuvaa barakoa ndio wanaokufa?
 
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa

View attachment 1850369View attachment 1850371

Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu

Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa

Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
Ni kwa viongozi tu Mkuu,sisi ma hastler haituhusu. Juzi alipokua ziarani Moro huko njiani alikua anagawa barakoa kwa wananchi ndipo awahutubie?

Hii ni biashara na njaa za viongozi wetu tu.
Aende Mbagala,Kariakoo,Gongo la Mboto na kwingine watu wanakopiga nyomi kwenye magari,huko wanachojua ni kupambania tumbo,mengine mbwembwe tu.

Nashauri,wasiwatishe wananchi,kwakua mikopo ni kodi zet,wakope tu,mwakani waongeze 100 kwenye kila lita moja ya maji,tutalipa.
 
Muwe mnafanya hata karesearch kadogo badala ya kuja hapa kuonyesha ujuha hadharani.

Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa

View attachment 1850369View attachment 1850371

Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu

Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa

Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376
 
Sawa mkuu wewe unaakili nyingi sana na timamu. Unalo jingine mkuu?
Endelea kuita watu mabwege,watu kama wewe mnaojitoa ufahamu dawa yenu hua ninayo na usipopona nakubadilishia dozi,utakaa sawa tu ili siku nyingine usipende kuvamia watu hovyo na lugha zako zisizokua na staha.
 
Subiri ipite na dingi ako ndiyo utajua kama ni uongo ama kweli, tuache utani watu wamelazwa kibao sasahivi
Ila wengi ni wale waliokula chanjo ili waende nje ya nchi. Mtu wa Kazilambwa anaipatia wapi?

Mtu wa Endoneti anaipatia wapi?
Mtu wa Dihinda anaipatia wapi?
Mtu wa Kibaoni anaipatia wapi?
Mtu wa Naiyeme anaipatia wapi?
Mtu wa Kidete anaipatia wapi?

Wasitutishe. Kila mtu achukue tahadhari awezavyo!!!
 
Back
Top Bottom