Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu,Umemuuliza swali gumu sana huyu mpiga porojo.
Swali unaweza kuliona gumu wewe kwa sababu unatumia mantiki, akaja mtu anayetumia emotion kashalishwa fake news, akaliona rahisi sana akakushangaa kwa nini wewe unaliona gumu.