#COVID19 Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

Muwe mnafanya hata karesearch kadogo badala ya kuja hapa kuonyesha ujuha hadharani.

China ina Population ya 1.4B katika hii population waliopata chanjo ni 220M

Percentage ndogo wamekuwa vaccinated mbona hakuna waliokufa?

Tusitishane hapa kuwa bila kupata vaccination unakufa huo ni upuuzi
 
Kwahiyo nchi kama UK ambao hawajachajwa na kuvaa barakoa ndio wanaokufa?
Mimi niko Marekani, kwa sasa wanaozidiwa, kupelekwa hospitali na kufa wengi ni wasiochanjwa.

Tuliochanjwa tunapeta.

Soma hapa Associated Press wameandika karibu watu wote wanaokufa kwa Covid-19 USA ni wale ambao hawajachanjwa.

Nearly all COVID deaths in US are now among unvaccinated

By CARLA K. JOHNSON and MIKE STOBBEJune 29, 2021

"Nearly all COVID-19 deaths in the U.S. now are in people who weren’t vaccinated, a staggering demonstration of how effective the shots have been and an indication that deaths per day — now down to under 300 — could be practically zero if everyone eligible got the vaccine."
 
Ni kwa viongozi tu Mkuu,sisi ma hastler haituhusu. Juzi alipokua ziarani Moro huko njiani alikua anagawa barakoa kwa wananchi ndipo awahutubie?

Hii ni biashara na njaa za viongozi wetu tu.
Aende Mbagala,Kariakoo,Gongo la Mboto na kwingine watu wanakopiga nyomi kwenye magari,huko wanachojua ni kupambania tumbo,mengine mbwembwe tu.

Nashauri,wasiwatishe wananchi,kwakua mikopo ni kodi zet,wakope tu,mwakani waongeze 100 kwenye kila lita moja ya maji,tutalipa.
100% agreed

Hii biashara ya mabarakoa na chanjo khaaa
 
Mimi niko Marekani, kwa sasa wanaozidiwa, kupelekwa hospitali na kufa wengi ni wasiochanjwa.

Tuliochanjwa tunapeta.

Soma hapa Associated Press wameandika karibu watu wote wanaokufa kwa Covid-19 USA ni wale ambao hawajachanjwa.

"Nearly all COVID-19 deaths in the U.S. now are in people who weren’t vaccinated, a staggering demonstration of how effective the shots have been and an indication that deaths per day — now down to under 300 — could be practically zero if everyone eligible got the vaccine."

Mimi niko Marekani, kwa sasa wanaozidiwa, kupelekwa hospitali na kufa wengi ni wasiochanjwa.

Tuliochanjwa tunapeta.

Soma hapa Associated Press wameandika karibu watu wote wanaokufa kwa Covid-19 USA ni wale ambao hawajachanjwa.

Nearly all COVID deaths in US are now among unvaccinated

By CARLA K. JOHNSON and MIKE STOBBEJune 29, 2021

"Nearly all COVID-19 deaths in the U.S. now are in people who weren’t vaccinated, a staggering demonstration of how effective the shots have been and an indication that deaths per day — now down to under 300 — could be practically zero if everyone eligible got the vaccine."
Propaganda ya covid imeenzia USA na china

Tena propaganda ikaamia kwa watu weusi kuwa ndio wanakufa sababu ya obesity yote haya ni biashara yao iendelee

Sisi tupo Tanzania

India imechanja population ya 5% lakini wote walikuwa wanakufa hata mwenye chanjo

Tusitishane Tanzania itasimama daima
 
Angalia jinsi unavyozidi kuonyesha ujinga wako hadharani!!! Una uhakika China hakuna waliokufa? Huo uhakika umeupata wapi? Wapi nilipokutisha?

China ina Population ya 1.4B katika hii population waliopata chanjo ni 220M

Percentage ndogo wamekuwa vaccinated mbona hakuna waliokufa?

Tusitishane hapa kuwa bila kupata vaccination unakufa huo ni upuuzi
 
Propaganda ya covid imeenzia USA na china

Tena propaganda ikaamia kwa watu weusi kuwa ndio wanakufa sababu ya obesity yote haya ni biashara yao iendelee

Sisi tupo Tanzania

India imechanja population ya 5% lakini wote walikuwa wanakufa hata mwenye chanjo

Tusitishane Tanzania itasimama daima
Sasa hiyo 5% ndiyo umeona significant hivyo?

Mbona unaponda propaganda wakati wewe mwenyewe unaeneza propaganda?
 
Mkuu samahani, MaCCM hayatapeleka hiyo pesa ikasadie watu, sasa maanake nini , acha tu tukose wote. Sisi wanyonge kufa na wao kosa pesa.
”sisi kosa na wao kosa” ubaya ubaya tu.!
Weee....! CHADEMA wao wataweza kupeleka hizo pesa wakipewa? Kuhusu ufisadi ni karibu 75% ya viongozi wa vyama hivi ni wachumia tumbo
 
34M vaccinated and 36M not vaccinated

Kuwa vaccinated sio kigezo, mbona wameambiwa wote hukuna mambo ya barakoa

Mambo ya barakoa ya kipuuzi tu
Hoja yako ina maana ila Kabla hujahitimisha jiridhishe kwa kujibu maswali, wasio na chanjo wanaruhusiwa kuingia uwanjani? Kabla ya kuingia uwanjani kuna kipimo cha covid wanafanyiwa? Kama wanafanyiwa cheti ni kigezo cha kupata tiketi?
 
China ina Population ya 1.4B katika hii population waliopata chanjo ni 220M

Percentage ndogo wamekuwa vaccinated mbona hakuna waliokufa?

Tusitishane hapa kuwa bila kupata vaccination unakufa huo ni upuuzi
Ni kweli china hakuna vifo vya covid?
 
Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa

View attachment 1850369View attachment 1850371

Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu

Nawashukuru watanzania wengi wamepuuzia kuvaa haya mabarakoa

Sasa nashangaa mkuu wa mkoa dodoma kulazimisha watu kuvaa haya mabarakao
View attachment 1850376

Ndugu yangu, hao UK wameshachanja watu wao kwa kiwango cha kutosha ndio maana wameanza kupunguza lock downs kwa kiwango kikubwa, Europe pia, sio kuwa wanaacha kwa sababu ya maombi ya siku tatu.
 
Tanzania ujinga ni tatizo kubwa sana bado.

Sasa kwa nini kitu kidogo kama hiki watu wanakuwa hawaelewi?
 
Kuna Siku utaacha kuvaa chupi ukifikiri unamvalia Rais
 
Tanzania ujinga ni tatizo kubwa sana bado.

Sasa kwa nini kitu kidogo kama hiki watu wanakuwa hawaelewi?

Hilo halifichiki, na ndio maana wanasiasa wajinga wajinga wanafanikiwa sana kudanganya majitu majinga mengi.... unachotakiwa kufanya ni kujidai ni mtu wa mungu kidogo, toa misaada kwenye TV basi mazoba yote yanaamini wewe ni masiha. Tuna wajinga wengi sana ni shida, nadhani ni mpango maalum wa wawatawala waendelee kubaki madarakani.
 
Weee....! CHADEMA wao wataweza kupeleka hizo pesa wakipewa? Kuhusu ufisadi ni karibu 75% ya viongozi wa vyama hivi ni wachumia tumbo
Ndio maaana tunataka katiba mpya , itakayomwajibisha yeyote yule atakae chezea pesa za Umma awe Rais awe nani, akichezea kodi tu mahakamni.
Katiba mpya ni lazima. Kwa ustawi wetu sote kama Taifa.
 
Hilo halifichiki, na ndio maana wanasiasa wajinga wajinga wanafanikiwa sana kudanganya majitu majinga mengi.... unachotakiwa kufanya ni kujidai ni mtu wa mungu kidogo, toa misaada kwenye TV basi mazoba yote yanaamini wewe ni masiha. Tuna wajinga wengi sana ni shida, nadhani ni mpango maalum wa wawatawala waendelee kubaki madarakani.
Mkuu,

Let me play the so called "devil's advocate".

Unafikiri kwamba huu si ujinga tu, labda ni ujinga plus plus au ujinga squared?

Kwamba kuna watu wanajua huko wenzetu wanapeta kwa sababu ya chanjo, na sisi hatuna, lakini tulete ubishi tu kwamba chanjo hazisaidii, ni biashara etc.

Huu ni ujinga wa kawaida tu watu wamejazwa na Magufuli na wenzake, au ni "cognitive dissonance" watu wanajua ukweli ila wanajiondoa akili tu kwa ku support team yao bila kujali ukweli?
 
Chukua mfano wa aliyekuwa/aliye Waziri wa Afya, aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara hiyo, Naibu Waziri hawa wote ni Wanasayansi na bahati nzuri ni Wataalamu wa sekta ya afya. Hebu niambie walisemaje kuhusu maombi ya siku tatu?
Sasa leo hii unapomuacha mtu huyo huyo kwenye nafasi hiyo unategemea nini?

Asilimia kubwa ya raia ni wajinga tu, wala hawaelewi nini kinaendelea, wanasikiliza kiongozi kasema nini wao ni kufuata na kutangaza.
 
Back
Top Bottom