Hakuna wa kutuzuia na.hatumwombi mtu. Kwani waliofiwa ni viongozi tuNi wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.
Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-
1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka
2.Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public
3.Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.
4.Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine
5.Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba
Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Utafikiwa tu ni suala la muda. Kwa hizi hasira huku mtaani kama we ni mzenji nakushauri tu uondoke mapema Tanganyika.Hakuna kuruhusu wezi , wakitoka kufanya fujo wauwawe, maeneo ya kuzika yako mengi.
Hakuna kuruhusu maandamano, maandamano ni kwa watu wenye akili timamNi wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.
Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-
1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka
2. Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public
3. Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.
4. Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine
5. Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba
Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Hizi hasira hata sisi wenye biashara zetu tunazo sana sio nyinyi vibaka tu.. na kwa taarifa yako safari mkiiba tena na kuvunja vitu vyetu itakuwa mara mbili ya October 29...Utafikiwa tu ni suala la muda. Kwa hizi hasira huku mtaani kama we ni mzenji nakushauri tu uondoke mapema Tanganyika.
Kama panyarodi wakipita huwa mnawakimbia mtaweza Gen z nchi nzima kazi mnayo nyie masikini mnaojiita wafanyabiashara za viduka uchwaraHizi hasira hata sisi wenye biashara zetu tunazo sana sio nyinyi vibaka tu.. na kwa taarifa yako safari mkiiba tena na kuvunja vitu vyetu itakuwa mara mbili ya October 29...
Bi mdogo wa Abduli unajitahidi sana endelea hivyo hivyo mpaka D9 mimba changa ya Dully itakua dhahili shahili!Hakuna kuruhusu wezi , wakitoka kufanya fujo wauwawe, maeneo ya kuzika yako mengi.