PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanaotaka uchaguzi huru ufanyike baada ya huu batili kuyeyuka unashauri waelekee ofisi ipi Ili kufanikisha jambo hili kwa amani kabisa?
Huwezi kutumia njia isiyo sahihi kuutoa uongozi usio sahihi
 
Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.

Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-

1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka

2. Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public

3. Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.

4. Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine

5. Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba

Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Why are you suddenly changing the tune?

COUNT DOWN TO GLORY 9D

WE'LL DREAM IT POSSIBLE!

Screenshot_20251111_170246_Clubhouse.jpg
 
Haya maandamano hayahitaji ruhusa ya viongozi,kwani yale ya Mo29 yalikuwa na ruhusa.!?


Nashauri serikali iyapige marufuku na Leo Samuya atoe tamko la kuua watanganyika wote watakaoandama huku akiwatumia km km
Wewe na yule Mzee aliechukuliwa Korosho kilo 3 na mtoto wake wa kumzaa kisha mtoto akaenda kuziuza kwa shillings 4,500/- ili kitimiza mahitaji yake kisha Mzee alipogundua Korosho zimepungua kilo 3 kachukua kidumu cha lita 5 kachota mafuta ya Petrol kutoka kweenye pikipiki yake na kumfunga kamba mikono mwanae na kuilowesha mikono ya mtoto wake wa kumzaa na kuwasha kiberiti huku anamwangalia anavyoungua na kulia kwa uchungu, mna tofauti gani?
 
Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza
Mngefanya hayo toka awali mngeepusha mengi
 
Mimi nitarudi na nahakika nitashiriki tena hiyo D9.

Kila mwana ccm atapata habari yake, gari ofisi na hadi wale washaki wao nao watapata.

Ni kuviziana tu mpaka tugawane upande, wao ccm kule sisi huku, hakuna kuchangamana nao.

Polisi na wale wanao walinda ccm wakaishi na ccm huko waliko hatuwataki huku uraiani.
 
Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.

Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-

1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka

2. Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public

3. Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.

4. Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine

5. Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba

Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Kama hatukuruhusu mchakato wa jina la rais kukiwa na wajumbe wachache tu. Huku kwa umma unataka serikali ipinduliwe?

Hakuna kuandamana.
 
Back
Top Bottom