PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanapolima Korosho huko tena ni kiongozi wa Serikali hii hii muda huu yupo nyuma ya nondo... fungua Habari usiku huu utaona labda waifunike kufichaficha
Fungua codes zaidi
 
Mimi siyo Kamanda bali ni raia mwema nina share hekima zangu tu
Sio wewe ulikuwa unafurahi sisi kupigwa risasi.

Nakuhakikishia hatuta rudi nyuma, damu zilizomwagwa bila hatia lazima zilipwe. Leo ndio mmegundua mliowauwa sio vibaka ni watanzania?

Wamelala 10,000 tupo imara 60,000,000
 
Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.

Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-

1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka

2. Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public

3. Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.

4. Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine

5. Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba

Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Hayo yanakuwa siyo maandamano yanakuwa matembezi tu Kama Yale ya Mbowe na CDM yake.
 
Fungua codes zaidi
Ni kiongozi wa Serikali huko kusini ni mkulima wa Korosho ana magunia ya Korosho aliyoyavuna kipindi hiki wanavuna Korosho huko, kijana wake akachukua kilo 3 za Korosho akaenda kuziuza ndio shida ilipoanzia hapo akamchoma moto mikono na mafuta baada ya kumfunga kamba na kumfungia ndani
 
Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.

Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-

1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka

2. Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public

3. Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.

4. Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine

5. Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba

Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Ni haki ruhusa haihitajiki ni taarifa tuu na mnayo tayari
 
Watanzania wamekwisha zoea shida hakuna jipya.

Hapa ni moto juu ya moto.

Askari ukiweka bunduki kwa mwanangu naenda kuweka panga kwenye shingo ya mwanao nyumbani kwako. umeacha maiti ya mwanangu barabarani utaikuta mlangoni maiti ya mtoto wako aliyekatwa kichwa ikikupokea uzuri mnafahamika mahali mnapoishi ninyi na familia zenu.
Hisia zako zinaeleweka, mkuu 'Mi mi', lakini ikiwezekana, na naomba juhudi ziongezwe hasa kwenye kuwawajibisha kama ulivyo eleza hapo wahusikaa wakuu wa tukio hili la kusikitisha sana.

Tuwekeze nguvu zetu kubwa, siyo kwa hao askari, wengi wao pengine hawahusiki kabisa, bali tuelekeze juhudi kwa Samia na Genge lake. Hawa ndio maadui wakuu wa taifa letu.

Hao askari ukimpata mtu kama Jumanne Mulilo, hapo nitaungana nawe moja kwa moja
 
This is very ugly and agonising
"... ugly and agonizing"?

Since when?
Hii tabia/tamaduni ya kujigeuza geuza rangi kama kinyonga huwa haiwastui hata mara moja kuwafanya kujuwa kuwa hata hao mnaowaonyesha hizo rangi zenu za mapambo zilisha wachosha?

Juzi tu humu humu ukawa unapongeza Samia na Genge lake kuwaua vijana hao hao; leo hapa unaingia na an "ugly and agonizing" gia! Vile vile kama kama anavyo fanya Samia wakati huu!

Hawa waTanzania mnaoona hawana akili na kuwafanyia dharau za kishenzi namna hii watawaonyesha mlivyo wapumbavu.
 
Sio wewe ulikuwa unafurahi sisi kupigwa risasi.

Nakuhakikishia hatuta rudi nyuma, damu zilizomwagwa bila hatia lazima zilipwe. Leo ndio mmegundua mliowauwa sio vibaka ni watanzania?

Wamelala 10,000 tupo imara 60,000,000
Hiyo 10,000 umeipataje? Una majina yao?
 
Back
Top Bottom