Nadhani Gen Z ni kizazi Bora na jeuri kuliko vyote (ukiondoa kizazi kile cha Nyerere) kuwahi kutokea katika historia ya Tanganyika.Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.
Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-
1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka
2. Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public
3. Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.
4. Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine
5. Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba
Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Msipotumia busara itakuwa shidaHakuna wa kutuzuia na.hatumwombi mtu. Kwani waliofiwa ni viongozi tu
View attachment 3501668
Mimi siyo Kamanda bali ni raia mwema nina share hekima zangu tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kamanda umetepeta kabla jua halijachomoza.
Kumbe na wewe unaogopa kufa? Hii ni maajabu 😁😁😁😁
Kamanda kaza kipwinto, tunakulipa mshahara unaanza kutepeta shenzi sana. 😀
Ngoja tuchote busara kutoka kwa mzee wa Taifa Pascal Mayalla
Hapana, hii siyo approach nzuri. Muafaka ni jambo jemaHaya maandamano hayahitaji ruhusa ya viongozi,kwani yale ya Mo29 yalikuwa na ruhusa.!?
Nashauri serikali iyapige marufuku na Leo Samuya atoe tamko la kuua watanganyika wote watakaoandama huku akiwatumia km km
Kwani Gen Z wa Nepal na Madagascar waliunda Serikali yao? Forget about this dreamUliambiwa nchi hii inaserikali? Mnafikili Gen Z ni malofa kama nye. Hatuhitaji ruhusu ya yeyote mpaka tuunde serikali na jeshi linalotambua wananchi. Bata wahed na bado
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mimi siyo Kamanda bali ni raia mwema nina share hekima zangu tu
Where leadership falters and authority is absent, anarchy rushes in to fill the void.Mnataka kuwe na viongozi ili muweze kuwa-target kwa urahisi na kuvuluga mpango mzima?
Mnataka kujua route ya maandamano ili muweke snipers juu ya nyumba?
Jibu ni, kila muandamanaji ni kiongozi na route mtaijua siku ya tukio
Hivi ni sahihi kabisa.Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.
Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kuzingatia yafutayo:-
1. Level zote iwe kwa wilaya au mkoa lazima waandamanaji wajitambulishe kwa kuomba/ kutaarifu mamlaka
2. Maandamano lazima yabebe ujumbe maalum ambao wanataka kufikisha kwa public
3. Waseme wataanzi wapi na wataishia wapi.
4. Wakiruhusiwa, basi Polisi iwasindikize ili kulinda mali za wananchi wengine
5. Kama wakikaidi kufuata muongozo huo basi Polisi na vyombo vya dola wasisite kufanya kazi yao kwa mujibu wa Katiba
Hakuna sababu ya kupimana ubavu na Gen Z. Nao Gen Z watambue kuwa nchi ni yetu wote hakuna haja ya kuharibu miundombinu ya Serikali au kuiba mali za watu.
Jambo lolote bila uongozi huzzah fujo, na madhara ya fujo ni mabayaWapi kwenye katiba paliandikwa maandamano yanatakiwa kuwa na kiongozi?
Halafu sio jukumu la serikali "kuruhusu" maandamano kama unavyodai , watu wameruhusiwa kikatiba kuandamana serikali inapewa tu taarifa iruhusu askari wakalinde waandamanaji badala yake nyie mmegeuza policcm ifuatwe kuombwa kibali .
Tunajua lengo kuu la kusema na kupata "viongozi" wa maandamano ni ili wakamatwe kufifisha maandamano hilo hamtaweza mtapigwa chenga kama yale ya tarehe 29 hamkujua kiongozi maana hayakuwa na kiongozi na wala hamkujua yataanzia wapi mkabaki kudandia tu watu mnawapa kesi za kubumba sababu hamjui muanzie wapi.
Na huwezi kuwapangia watu wabebe mabango kwani nani asiyejua GenZ walichoandamania kwenye yale ya October 29?
Sasa ni kwamba maandamano yanayofuata hayatokuwa na kiongozi na wala hayataeleweka yanaanzia wapi kama yale ya tarehe 29.Jambo lolote bila uongozi huzzah fujo, na madhara ya fujo ni mabaya
Huna akili kabisa waliouwawa wengi walikua majumbani. Mie huku nilipo hakukuwa na maandamano kabisa ila bado kuna watu zaidi ya 10 walipigwa risasi. Mbaya zaidi wengi waliuliwa ndani ya mageti kabisa!!Hizi hasira hata sisi wenye biashara zetu tunazo sana sio nyinyi vibaka tu.. na kwa taarifa yako safari mkiiba tena na kuvunja vitu vyetu itakuwa mara mbili ya October 29...
Nani aliwahi dhani vijana wangechachamaa ile October 29? Mie binafsi hata mboga tu sikuwa nimenunua maana nlijua business as usual!!Hatuwezi kufika huko,