Nawashukuru Sana
Member
- Dec 11, 2024
- 94
- 240
Yaaani Serikali ipoteze fedha zake kuchunguza vitu ambavyo vinajulikana waziwazi?Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Na kama hakuhusika uchunguzi huo utasafisha jina lake na serikali pia.Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Uwe ni mwanzo wa muendelezo wa mengine baadaye.Kwa nini wawili hawa tu
Serikali inajichunguzaje yenyewe kije chombo cha kuaminika kuto nje ya nchi.Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Hakutakuwa na chunguzi hizo mbili.Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Na kama wahusika ni Chadema? 🐼Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Serikali ipi? Labda ya malawiKinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Haiwezi kujichunguza yenyewe..kwa wenye walau D 2 walishaelewa kitamboKinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Isiishie kwa uliowataja pekee !Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Hakuna haja ya uchunguzi Kabendera kamalizaKinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Kosa afanye John fidia alipe Janet au Jesca?Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.