Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

... kama kutetea rasilimali za nchi ni udini wacha na iwe hivyo! Mmekosa hoja mnakimbilia udini mkiongozwa na fisadi la mafisadi! Pumbavu!
Hatutaki kuletewa Udini katika Taifa letu.Ni mjinga pekee anayeweza kufurahia kupandwa kwa mbegu ya Udini nchini mwetu
 
... kama kutetea rasilimali za nchi ni udini wacha na iwe hivyo! Mmekosa hoja mnakimbilia udini mkiongozwa na fisadi la mafisadi! Pumbavu!
Hatutaki kuletewa Udini katika Taifa letu.Ni mjinga pekee anayeweza kufurahia kupandwa kwa mbegu ya Udini nchini mwetu
 
Ili CCM Waibe vizuri
 
Maendeleo ni siasa?

Ujinga mwingi sana unaandika.
Watu hawasomi bali wanajibu headings zako tu
 
DPW ni uwekezaji, sio siasa wala dini ile. Lakini kuna wachache wamei subject huko kwa makusudi kabisa.
 
Kama "bwana yule" alivyoonesha dharau kubwa sana kwa Kanisa na viongozi wake katika mapambano dhidi ya Covid19......tena akiwa kanisani! Sote tunajua alipo kwa sasa!
 
Uislamu na uzungu vyote sawa tu, kwahiyo unaacha utamaduni wako unachukua wa kuja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo hili sakata kuhusu DPW lipo juu sana ya uelewa wako. Ni vyema ukatulia wakati watu makini wakilitafutia ufumbuzi wa kudumu.

Si kila kitu kinatakiwa kufanyiwa propaganda za kijinga. Ni juzi kati tu hapa uliwananga na kuwabagaza wale waliohusishwa na kesi ya mchongo ya uhaini. Leo mkasa ule wa uhaini umeiumbua serikali, sasa unaleta andiko kuhusu udini.

Mambo mengine ni vyema ukapiga ukimya hapa jukwaani wakati yakishughuliwa na watu makini pasipo wewe kutia neno lolote lile. Kuweka namba ya simu kwa kila andiko lako hapa jukwaani ujue ni kitu cha kishamba sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…