Je kanisa linaweza kuishinda serikali?Nafikiri wengi hawajui maana ya Kanisa.
Mashehee si mmeamua kuunga Juhusii bhasi msilazimishe kila mtu awe Kubwaa jingaaa...!! Na nyiee someni zenu kuunga mkono msikitiniHii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
Je kanisa linaweza kuishinda serikali?
Unafkiri wakatoliki kutoa waraka wameanza leo.
Tangu enzi za JK wamekuwa wskija na waraka mbalimbali za kupinga kukosoa na hata kuamrisha.
JK alipuuza na hakuna chochote kilichotokea
Na hata waraka huu utapuuzwa na serikali na bandari atapew DP world na hakuna mtakachofanya.
Unabisha?
Mimi ni mkatoliki ninayejielewa vyema sio wale wenye mlengo wa siasa kali.acha unafiki bichwa flat, nakuangalia sana ujifanya mkatoliki wakati wewe mvaa kobazi wa makunduchi........uho ukatoliki tuachie wenyewe ndo tunauweza
Jawa waislam wanaowaona waarabu kama Miungu?Acha kujidharu ha kuhandle over sovereinity yako. We huna sautu kweli? Umeipelwka wapi. Hivi mbona mnawaona maaskofu kwa miungu hivi. Karibu I kwenye uislam dini ya haki ambapo kila mtu ni sawa hakuna kuabudiana. Dini ya mwenyezi mungu Huwa Haina superior over others.
Hakuna mwenye jeuri hiyo. Pia utambue fika hilo tamko limetolewa na Maaskofu wote wa Kanisa Katoliki nchini. Na siyo Mapadre. Ingawa siwezi kukataa Maaskofu wote ni Mapadre.Siyo too late, boss.
Serikali iwakamate hao mapdre wanaowashwawashwa iwasweke ndani, kwa kesi ya uhaini, halafu jioni wawasafirishe kwenda kutalii mbeya kwa siku tano. Baada ya siku tano, wawarudishe Dar. shitaka libadilishwe liwe uchochezi, wajidhamini, warudi nyumbani kwao. Mchezo umeisha
Unahitaji tiba!Hatupo hapa kubishana, Kanisa limeushinda Ulimwengu wewe unazungumzia serikali? Hivi unaakili Kwel
Unahitaji tiba!
China Korea kaskazini Saudia huko pia kanisa limeshinda?
Au huko sio sehemu za ulimwengu?
Uoga wao Kwa mamlaka ni kufutiwa usajili wa hivyo vikanisa. Ndio mana wanaufyata mbele ya mamlaka za kidunia.Pumbavu, hivi wafikili, katoliki ni kama makanisa yenu ya mchongo ,ya Mwamposa, au Gwajima , katolic hata mkisema leo hii iendeshe nchi inaweza ,
Tunasubili tamko la kkt
Ngoma inaanza upya , alisema aliekua mbunge , mzee Bwege
Kanisa si jengo tu watu wanapokusanyika kusaliNafikiri wengi hawajui maana ya Kanisa.
Robert mjibu Kwa kumuonesha power of the church huko SaudiaKwenye haya mambo wewe bado ni Mdogo.
Ingefaa ukajifunze kwanza Mkuu.
Kanisa ni watu kanisa sio Jengo! Kanisa ni waumini wakuatanapo Kwa ajili ya kumuabudu Mungu . Kanisa yawexa kuwa uwanjani, chini ya mtu au popote pale. Ndio mana inaitwa Jengo la Kanisa. Tafuta maarifaKanisa si jengo tu watu wanapokusanyika kusali
Au mi sielewi??
Niko pale....!Hawawezi kutetereka na hawa TEC
Acha uongo wako wewe. Hatabwakati wa Magufuli, TEC walisimama kukemea maovu.Huhitaji kuelezwa na mmoja wao unaona tu hulka zao za wakati wa SSH na zile za wakati wa JPM. Father Kitima wa wakati wa JPM sio huyu wa sasa. Nimetumia neno baadhi kwani nasali kanisa katoliki hivyo nawafahamu.
Wewe ndiyo ukajifunze dogo.Kwenye haya mambo wewe bado ni Mdogo.
Ingefaa ukajifunze kwanza Mkuu.
Aah OkKanisa ni watu kanisa sio Jengo! Kanisa ni waumini wakuatanapo Kwa ajili ya kumuabudu Mungu . Kanisa yawexa kuwa uwanjani, chini ya mtu au popote pale. Ndio mana inaitwa Jengo la Kanisa. Tafuta maarifa
Kanisa si jengo tu watu wanapokusanyika kusali
Au mi sielewi??