Sawa mkuu taratibu tutaelewanaToa mfano mmoja tu wa nchi moja ambayo wamejifungia na hawajapata maambukizi, janga hili hakuna nchi itakayobaki salama
Kunamambo mengine unaangalia upepo tu unajua kabisa kwamba si la kuzuia Kwa nguvu za binadamu, kama ni hivyo, ma Raisi wote wa nchi za ulaya na America wajiudhuru basi
Toa mfano mmoja tu wa nchi moja ambayo wamejifungia na hawajapata maambukizi, janga hili hakuna nchi itakayobaki salama
Kunamambo mengine unaangalia upepo tu unajua kabisa kwamba si la kuzuia Kwa nguvu za binadamu, kama ni hivyo, ma Raisi wote wa nchi za ulaya na America wajiudhuru basi
Sio kumtoa madarakani, bali kumpa maelekezo ya kufunga mipaka.Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.
Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.
Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Hapana mkuu, tatizo sio kufunga wala kutofunga mipaka, tatizo ni mtu mmoja aliyeathirika kuwaathiri watu nchi nzima na Dunia nzima, mataifa ya ulaya na America mbona yanazidi kuathirika mbali na umakini wao? Hujiulizi tu Hilo mkuu, huu upepo wa Corona hakuna nchi itakayobaki salama, kujifungia hakutakuwa sabb ya nchi kupona,
Hivi hii corona inasubiri nini kukuattack ww na nzi wa kijani wenzako?Chadema mmefilisika kisiasa kabisa!
UgandaToa mfano mmoja tu wa nchi moja ambayo wamejifungia na hawajapata maambukizi, janga hili hakuna nchi itakayobaki salama
Kunamambo mengine unaangalia upepo tu unajua kabisa kwamba si la kuzuia Kwa nguvu za binadamu, kama ni hivyo, ma Raisi wote wa nchi za ulaya na America wajiudhuru basi
Zikipita wiki mbili mkuu bila ya wao kuwamo kwenye upepo huu, ingia Kwa mangi agizia peps kunywa halafu ondoka wambie nitalipa mkuu
kila kitu ni siasa. Kwanini usijibu hoja, hujaiona hoja yake hadi utamke neno chadema..chadema inaingiaje hapo..Chadema mmefilisika kisiasa kabisa!
Utasubiri sana na hicho kiduku!Hivi hii corona inasubiri nini kukuattack ww na nzi wa kijani wenzako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee una hasira sana!Pumbavu wewe..kila kitu ni siasa. Kwanini usijibu hoja, hujaiona hoja yake hadi utamke neno chadema..chadema inaingiaje hapo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuanza huku tuanze na Yule wa china aliyeshindwa kuzuia watu kutoka vitu vingine tuache kunyooshea wengine vidole na pale Italy nao wasemeje maana wao ndio wanapukutika kama majani tujifunze kushukuru na Kusali vitu vingine haviepukikiHii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.
Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.
Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
Hii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.
Haiingii akilini Kama nchi za Ulaya na Marekani zimefanya hivo lakini nchi yetu bado imekuwa kimbilio la Hawa wazungu na hatimaye tumejikuta idadi ya wagonjwa wa Corona inaongezeka kila kukicha.
Kama Bunge letu lingekuwa na nguvu Basi ulikuwa Ni muda mwafaka wa kumtoa Rais madarakani kwa kutumia kigezo hiki tu Cha kucheza kamali na maisha ya Watu.
CORONA HAIPO TENA CHINA WAMEINGIA BARABARANI NA MAKAZINIHii ni kwa sababu Rais pamoja na serikali yake wameamua kuwatoa kafara wananchi kwa kushindwa kutumia madaraka aliyonayo kisheria kuzuia wageni kutoka mataifa yaliathiriwa zaidi kwa ugonjwa wa Corona.