Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Ukweli ni kwamba huyu ndugu anayejifanya ni mtu wa wanyonge hafai kabisa. Eti unaamuru taasisi zote za elimu zifungwe lakini unafungua mipaka na kuruhusu watu kuingia na kutoka nje ya Tanzania! Tunatwanga maji kwenye kinu. Kwanini wakubwa wacheze kamari na maisha ya wananchi? Napendekeza hawa watu wanaoingia kituo cha kwanza kiwe ni kwenda kumsalimia jiwe na kumpongeza kwa juhudi za kuinua uchumi wa Tanzania. Nafikiri akinaswa yeye na hili gonjwa ndio watashika adabu na kufunga mipaka kwa muda. Yaani kwake fedha ni zaidi ya uhai wa watu wake?
 
Tunamwomba Polepole ajitokeze kutwambia Chama Chake kinawalindaje wananchi waliokichagua Chama hicho? Ina maana Chama Chake hakithamini uhai wa waliokipigia kura?
 
Sio tu corona kula pesa za watu wa kagera kwenye tetemeko ilikuwa tiketi ya kufukuzwa ikulu.

Toka mwaka 2016 jamaa alitakiwa kuwa chato.

Yaani jamaa pamoja na kuwa hakushinda urais lakini bado tu analandalanda Ikulu.
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Jamaa hili la hovyo sana! Linashindwa kuwalinda raia wake. Au linajua hatukumpigia kura kwa hiyo tuangamie tu?
 
WanaCCM akili zenu mnazijua wenyewe. Kwa hiyo huna hata habari kwamba kuna nchi huwezi kuingia wala kutoka? Nchi hizo zimeona bora zibaki na wagonjwa waliomo ndani ya nchi ila wasiongezeke wengine toka nje. Wewe bado unasifu na kumwabudu huyo mungu mtu wenu, malaika wa kuzimu.
 
Dr. Bashiru Ally jitokeze kutwambia mnatulindaje na hili janga? Mbona huwa unajitokeza kutuonyesha wanaounga mkono juhudi na sasa hutaki kujitokeza kutwambia unatuteteaje na janga hili wewe, chama chako na serikali yako? Hamuoni kuwa mnatuumiza? Mnaleta utani mbele ya uhai wetu?
 
Hata kifo kimoja hakuna, we we kelele tu
 
Mipaka ifungwe Mara moja Leo Afande Silo anasema hakuna kufunga mipaka utafikiri Polisi/majeshi yataweza kuzuia maambukizi, ametoa sababu za kuchekesha na kuchefua yeye ni nani katika fani ya Afya???
Huwezi sema ni ktk nchi za baridi! No geofarafia inatuonyesha upo ktk tropics, sub tropics nk ebu tazama link

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chadema hakuna kwenda ikulu kwa njia ya mkato....hahahahha
 
Watanzania kila kitu siasa
Wahi haraka mahakamani,ila ujue tu huwezi kuishitaki serikali bila ya kibali cha mwanasheria mkuu
 
Sio tu corona kula pesa za watu wa kagera kwenye tetemeko ilikuwa tiketi ya kufukuzwa ikulu.

Toka mwaka 2016 jamaa alitakiwa kuwa chato.

Yaani jamaa pamoja na kuwa hakushinda urais lakini bado tu analandalanda Ikulu.
Kwani nani alishinda tumpe na chama chake?
 
Hongera Kwa kutimiza jukumu la Uhuru wa kutoa maoni
 
CHAD .Eritrea na nyingine nyingi tu
 
KOSA LA RAISI HAPO NINI SASA,NA SERIKALI IMEJITAHIDI KUCHUKUA TAHADHARI ZOTE? LETE HOJA ZA KUREKEBISHA NA SIO KUMKOSOA RAISI WETU BILA SABABU YA MSINGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…