Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Mkuu, Mimi na wewe asokuwa na akili Nani, Andiko langu loote sikuandika nikajitaja Mimi ni sisiem, Ila ni wewe umenisemea, punguza mahaba ya uvyama
 
Chuki gani mkuu wakati ni ukweli usiopingika kuwa kutifunga mipaka ya nchi yetu kuzuia wageni kutoka ktk nchi zenye huo ugonjwa ndo zizounaleta hapa nchini kwetu? We unazani kama wangezuia huu ugonjwa ungetokea wapi?

Watz acheni ujinga wa kishamba kisa tu ww na baba ano ni ccm ndo hata usiwe na macho wala akili ya kuona mabaya anayofanya jiwe wenu hata kama mtu unapenda hutakiwi kupenda kila kitu anachofanya bali kile kizuri na kibaya unatakiwa kukikataa na kumwambia hili sio sawa nyie vp aisee, sasa ona hizo hera mnazoziingiza kwa kutoka kwa hao wazungu wanatuletea huo ugonjwa zitatisha kupambana na hivi virus au ndo mtatumia gharama kubwa zaidi mara 50 ya ambavo mngezibiti na kufunga mipaka??

Ujinga siku zote ni mzigo mzito na ni hasara kwa wa Yz ambao hatuna kosa yaaki viongozi wetu wanatuingiza kweny hasara kama nchi na vifo vya kwa watu au kwa kuwa wanajua wao wako salama na hawataupata huu ugonjwa!?? Tungekuwa unajielewa na kujitambua Huyu rais na ccm yake tungewatoa madarakani kwa hii issue ya Corona ila kwa kuwa sisi ni wa kusifia na kuabudu kila kitu hata kibaya wacha tuvune tulichokipanda, yaani hata shule zisingefungwa watoto wetu mpka wanakosa kusoma, michezo yote kufungwa nk nchi inapata hasara ya kiuchumi kwa shughuli nyingi kufungwa na pia nchi hiyo hyo kutumia hera nyingi kweny kuhudumia na kudhibiti huyu kirusi , huu ni ujinga kabisaa wakat dawa ilikuwa moja tu kufunga mipaka,


wanafanya hivi ili wapige hera za hii nchi vizuri maana utaskia tumetumia bilion kadhaa kwa ajili ya kununua sjui nn kumbe ni uongo mkubwa, hii awamu watu wanapiga sana hera kwa njia hizi[emoji35][emoji35][emoji35]
Sheria haiwezi kua upande wa chuki hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio tu corona kula pesa za watu wa kagera kwenye tetemeko ilikuwa tiketi ya kufukuzwa ikulu.

Toka mwaka 2016 jamaa alitakiwa kuwa chato.

Yaani jamaa pamoja na kuwa hakushinda urais lakini bado tu analandalanda Ikulu.
Ilikuwaje hiyo tume yako ya uchaguzi ikamtangaza mtu ambaye hakushinda?
 
Na hautasikia imepotea roho ya mtanzania hata mmoja kwa Corona, ni amri yangu katika Jina la Yesu. What's Corona by the way kukaa anatishia tishia maisha yetu? Tutatishwa na Mungu pekee na si kitu kingine. Nawasihi wa-Tanzania waendelee kuchukua tahadhari kwa makini sana pamoja na kufuata maelekezo ya Serikali na wataalamu wa Afya. Tufuate masharti na maelekezo ya mamlaka husika, hayupo atakayepoteza maisha kwa Corona
 
bunge limejaa ng’ombe wa kijani usitegemee lolote wewe endelea kutafuta mkate wa siku wa wanao tu.
 
Nakuunga mkono ukiondoa Neno Kwa amri yako, na hii ni Kwa wote wanaoamini uweza wa Mungu, Barikiwa mkuu
 
Nakuunga mkono ukiondoa Neno Kwa amri yako, na hii ni Kwa wote wanaoamini uweza wa Mungu, Barikiwa mkuu
Amri yangu nimeitoa katika Jina la Yesu, na hiyo sasa inakuwa tena si amri yangu bali ni ya kila mtu anayemwamini Yesu, na ikiwa ndani ya mamlaka ya Yesu mwenyewe, yeye akiwa ndiyo mtekelezaji wa amri hiyo. Kwa hali hiyo basi, amri hii nimeitoa kuwakilisha watu wote wanaomwamini Yesu na ambao huwa wanaliitia jina la Yesu.Kwa hiyo nimeitoa mimi kwa niaba yao wote wanaomwamini Yesu.


Kwa upande mwingine, ningesema naamuru bila kutaja jina la Yesu, hiyo sasa ndiyo ingekuwa amri yangu mimi binafsi, na isingekuwa na chochote cha maana ndani yake, ingekuwa ni wishful thinking yangu isiyokuwa na nguvu yoyote ya ki-Mungu, bali ya kibinadamu tu


Petro wakati alipomuona Yesu akitembea juu ya maji, alimsihi Yesu kwa kumwambia NIAMURU nitembee juu ya maji. Petro alitumia neno hli NIAMURU kwa sababu alijua kuwa Yesu akishaamuru, mamlaka ya Petro kutembea juu ya maji yatakuwa yako mikononi mwa Yesu. Kama Petro angemsihi Yesu kwa kumwambia kuwa NIAMBIE nitembee juu ya maji, basi mamlaka ya Petro kutembea juu ya maji yangekuwa mikononi mwake yeye na sidhani kama angeweza kutembea hata hatua moja!
 
Huna hoja. Jikinge na Corona kwa usafi wa mikono na kutokusanyika pasipo lazima. Hatuwezi kuua uchumi wetu kwa kuogopa mafua yanayoweza kumalizwa na CHLOROQUINE
 
Huna hoja. Jikinge na Corona kwa usafi wa mikono na kutokusanyika pasipo lazima. Hatuwezi kuua uchumi wetu kwa kuogopa mafua yanayoweza kumalizwa na CHLOROQUINE
Kuna siku mtatwambia hiki kiburi mlichonacho kinatoka wapi.
 
Siku corona ikitugeuza ka Italia ndo atafunga mipaka kweli ccm na mwenyekiti wake hawana huruma na wananchi
 
Made sasa wa kumdoa mbowe uwenyekiti wa chama. Ameshindwa kuwafamisha wanachama hali ya Corona nchi. Anahasisha mahandamano bila kuwa Kuna janga la CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Ila ukitaka kutumia janga hili kisiasa ngoja oktoba ufanye hivyo ila usije ukashtuka kwa kuona idadi kubwa ya wa TZ wanamkubali. Ikiwa hivyo itabidi uende ukalilie chumbani ili wasije wakakucheka.
 
As far as m concerned statement nlioandika iko sahihi na itaendelea kua sahihi. Ebu rudia tena kuisoma, only this time isome ukiwa huna chuki ndani yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Ila ukitaka kutumia janga hili kisiasa ngoja oktoba ufanye hivyo ila usije ukashtuka kwa kuona idadi kubwa ya wa TZ wanamkubali. Ikiwa hivyo itabidi uende ukalilie chumbani ili wasije wakakucheka.
Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…