Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

WEWE TANGU UMEANZA KUPELEKA PESA KWA MITUME NA MANABII BADO HALI YA MAISHA YAKO IKO PALE PALE.
HAKUNA KUMILIKI NYUMBA WALA GARI, UMEFANIKIWA KUMILIKI MADENI TU.

NI MBWA WEWE UNAYEANGUKA MAPEPO TU, UTAFIKIRI UNA UNDUGU NAYO
ETI NABII ANAKUOMBEA USIROGWE NA WACHAWI, KWA KIPI ULICHO NACHO?
tpaul , WALA HAKUNA HAJA YA RAIS KUINGILIA KATI. KUNA KIZAZI CHA WATU KINAJIFUNZA KWA NJIA NGUMU SANA.MUDA NA HISTORIA VITAWAFUNZA
 
Makapi/pumba zitachujwa na kuchomwa moto,bali ngano itahifadhiwa vizuri!

Tuache vyote vikuwe,yatajulikana kipi pumba ipi ngano!
 
Kadri haya so called makanisa ya kinabii yanavyoongezeka na dhambi zimekua nyingii mnooo
 
Ushuhuda kutoka kwa waumini baada ya Bulldozer kufika Mkoa wa Kagera siku ya leo.
 

Attachments

Acha wajinga waliwe,usipokuwa na akili ndio mtaji wa mwenyeji akili
 

1 Tim 4:1-5​

Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli. Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani; kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.
 
Hii michezo ya kubahatisha (kubeti) ni janga kubwa kuliko hata hayo ukiyoeleza hapo juu lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa. Huko kwa manabii na mitume wahanga ni wanawake lakini kwenye kamali hizi vijana ndiyo wahanga wakubwa.
 
Umeongea kitu ambacho ni muhimu sana siku zote katika maisha watu wanaoumizwa na maisha ni wenye tamaa ya mafanikio pasipo kipima mbele na hiki Ndo kinawatesa wengi
 
Du! Leo nimesikia ushuhuda wa jabu sana huko Kagera ambao sijawahi kuusikia tangu nizaliwe! Mwanamke mmoja amekuja kutoa ushuhuda kwa Mwamposa akasema anamshukuru alimuombea ameishapata mimba; sasa anaomba amuombee azae mapacha (wa kike na wa kiume). Mwaka huu tutasikia mengi. Ila kuna siku nitaenda huko Kawe nikashuhudie hivi vituko live aisee!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji817]ni kwl hawa watenda miujiza wameteka akili za watu Kwa ibada zao za miujiza sio kuhubiri injili
 

1 Timothy 4:1-5
4 The Spirit clearly says that in later times some will abandon the faith and follow deceiving spirits and things taught by demons. 2 Such teachings come through hypocritical liars, whose consciences have been seared as with a hot iron. 3 They forbid people to marry and order them to abstain from certain foods, which God created to be received with thanksgiving by those who believe and who know the truth. 4 For everything God created is good, and nothing is to be rejected if it is received with thanksgiving, 5 because it is consecrated by the word of God and prayer.​

 
Ukweli mtupuu hujaacha kitu na umaskini wa pesa na fikra haitaisha hii nchi!
Kakobe umemsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…