Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

Manabii wanasababisha tatizo flan, wanapiga hela za masikini halafu wanalundika ndani kwenye majaba hela inaondoka kwenye mzunguko serikali inaanza kulaumiwa
 
Aisee umeongea ukweli mtupu, na wahanga wakubwa ni wanawake kwa sababu wengi wana matatizo mengi ya maisha
 
Haaaaahaaa inapotoka Samsung galaxy
 
Aisee umeongea ukweli mtupu, na wahanga wakubwa ni wanawake kwa sababu wengi wana matatizo mengi ya maisha
Sijui kwanini hawa akina mama wanakuwa easily carried over by these bogus prophets. Mungu awafanyie wepesi awafungue ufahamu washtukie huu upigaji wanaopigwa kila kukicha.
 
Betting inalipa kodi vipi kuhusu madhehebu uchwara yanalipa kodi?
Wanatakiwa walipe kodi na accounts zao ziwe audited. Siyo mtu kutoa namba ya simu redioni umtumie pesa kwa jina lake binafsi wala haijulikani anazitumiaje. Eti sadaka! Utapeli mtupu. Sisi waafrika lini tutaamka kwenye huu usingizi wa pono?? Hata elimu tuliyopata bado ni bure tu?????
 
Hawawezi kuchukua hatua kwasababu watu wanapoelekeza akili zao huko, wao huku nyuma wanafanya yao, ndiyo hayo
  1. Madege yanatua KIA ...watu wako busy na Mwamposa
  2. Mawaziri wanatoa takwimu zinazopingana kwa Rais ...watu busy na manabii
  3. Miti inateketea ukame unatamalaki mamlaka hazichukui hatua ....watu busy na mitume
  4. Vituo vya mafuta vinajengwa kwenye hifadhi ya barabara nk
 
Iwapige marufuku na mashekhe na maimamu wamezidi uchawi wanauza madawa ya kisuna na mapete ya kichawi. Mafuta ya ajabu ajabu kama kina shekhe sharif majini, wanawaingilia watu na kugawa majini,TUANZE NA HAO KWANZA
 
Du! Hili nalo ni tatizo aisee!
 
Saizi wanavamia viwanja vilivyowazi ukizubaa unakuta washafungua kanisa la mabati. Kuna sehemu mbezi viwanja vitupu vimeongozana kama vinne na vyote jamaa wametia kambi wamefungua makanisa halafu maspika makubwa balaa wanapigiana kelele wao kwa wao
😁😁🤣
 
Iwapige marufuku na mashekhe na maimamu wamezidi uchawi wanauza madawa ya kisuna na mapete ya kichawi. Mafuta ya ajabu ajabu kama kina shekhe sharif majini, wanawaingilia watu na kugawa majini,TUANZE NA HAO KWANZA
toka zako huko ww yaani ww pila kuutaja uislam hujisikii raha ...acha kujilinganisha mzee uta fail tu.
 
toka zako huko ww yaani ww pila kuutaja uislam hujisikii raha ...acha kujilinganisha mzee uta fail tu.
pumbavu zenu kila siku mnaleta mada za kikuda sijui maaskofu mitume sijui manabii kwa nini msiwaseme mashehe wenu mbw nyinyi? Sasa kuanzia sasa mkirusha kombola kwetu nasisi tutajibu kwa moto! Kolo ww
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…