Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

Hivi huyu jamaa aliingiaje hapa nchini na kufanikiwa kuwapiga wananchi hela kisha akatoroka nazo kwenda Lubumbashi bila kukamatwa na kushtakiwa na serikali kwa makosa ya utapeli, uhujumu uchumi na utakatishai fedha?

Hasa wanawake wanatapeliwa kirahisi, mwanamke anamheshimu huyo nabii fake kuliko bwana wake. Kuna wakati wa maombi binafsi sijui inakuwaje kwa hawa wake zetu. Wanapoenda tuwasindikize!!
 
Wake zetu ni wa ajabu sana kwenye imani. Wao wanadhani kila kitu ni rahisi kama wanavyoaminishwa na hawo matapeli wanaojiita manabii. Wanawake wa nchi hii ni watu wa ovyo sana.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini.

ASKOFU BAGONZA - TUSIITAKE SERIKALI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU LABDA PAWEPO JINAI

WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI

Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada

Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi?

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE

Baba Askofu Bagonza amesema kuna juhudi za kuitaka serikali ya Tanzania kuingilia uhuru wa kuabudu kwa kisingizio cha wahubiri kupotosha. Amesema hiyo si sawa maana na ni hatari zaidi kwa serikali kuingilia shughuli za imani ya kidini. Maana je ikibidi sheikh au askofu au mchungaji akitakiwa kupeleka mahubiri yake kwa DC Mkuu wa wilaya au polisi kila ijumaa, jumamosi au jumapili ikapitiwe na mamlaka za dola kabla ya kuruhusiwa mahubiri kufanya si itakuwa hatari!

Naye sheikh akichangia mada amesema BAKWATA na sheikh mkuu mufti wa Tanzania kwa kushirikiana na Mfalme Mohammed VI wa Morocco wameanda na kuwezesha waumini kwenda sawa ili kujiepusha na mahubiri potofu

Washiriki pia wamegusia jinsi viongozi wa kidini baadhi yao wanashiriki utoroshaji magendo, biashara ya binadamu n.k kwa mwamvuli wa taasisi zao za kidini

Viongozi hao wanatenda jinai wakijihusisha na magendo, biadhara haramu n.k na wanastahili kushughulikiwa kwa kutenda jinai hizo...
 
Je, kuuzia watu udongo

Je, kuuzia watu udongo kwenye kijiko sio mahubiri potofu?
 
Back
Top Bottom