Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kazi y dini ni kuhubiri kuhusu ufalme wa mbinguni.
Tulipokuwa tunasema kuwa Magufuli anatumia viongozi wa dini kuficha uovu wake, mlikuwa mnasema viongozi wa dini kwenye hafla zake ni ishara kuwa yeye ni mcha Mungu. Leo aliowatumia kuhadaa umma ili kuficha uovu wake wanaweka ukweli hadharani. Ukweli huchelewa tu.