Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kajindoshea yeye mwenye kitu kizito; Mbowe kajitakia hapo halipo.Mwingira kawadondoshea kitu kizito
Kesi yake kwa watu makini kama JPM waliipuzia na kama usalama walijua his nonsense plot was never going to amount to anything other than ujinga wa CDM.
Ila kuna watu awakuridhika na huruma wa Magufuli walikuwa wanamlia timing to Mbowe.
Mama Samia ni mtu wa kulishwa matango pori hiyo ni kesi ya usalama wa CCM kushinda raisi wa nchi.
Evidence zake ni weak ila Mbowe alijitakia uhuru wake utatokana na huruma ya Samia tu; msisahau JPM aliyajua yote aliamua tu kumuacha.