Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

Kajindoshea yeye mwenye kitu kizito; Mbowe kajitakia hapo halipo.

Kesi yake kwa watu makini kama JPM waliipuzia na kama usalama walijua his nonsense plot was never going to amount to anything other than ujinga wa CDM.

Ila kuna watu awakuridhika na huruma wa Magufuli walikuwa wanamlia timing to Mbowe.

Mama Samia ni mtu wa kulishwa matango pori hiyo ni kesi ya usalama wa CCM kushinda raisi wa nchi.

Evidence zake ni weak ila Mbowe alijitakia uhuru wake utatokana na huruma ya Samia tu; msisahau JPM aliyajua yote aliamua tu kumuacha.
Wewe mpuuzi sana, chuki zako kwa Samia zipo wazi!! Hapa unachojaribu kufanya ni kutafuta kuungwa mkono na CDM katika upuuzi wenu, uzuri wameshawashtukia! Kipi kibaya kati ya kumpiga risasi Lissu hadharani, kumuua Ben Saanane na Mbowe kupewa nafasi ya kesi yake kusikilizwa hadharani? Kipindi cha huyo shetani wako CDM wangeruhusiwa kuripoti live hiyo kesi? Wazungu wangeruhusiwa kuhudhuria? CDM Wangeruhusiwa kuvaa Tisheti za kudai katiba mpya mahakamani? Wangeruhusiwa hata kukata keki yenye ujumbe wa kisiasa mahakamani? Huyo Shetani wako si alimtoa IGP sababu tu hakuwapiga wafuasi wa Manji na Gwajima walioenda kusapoti watu wao mahakamani? Watu hawajasahau ushetani uliofanyika awamu ya 5 na hawatasahau karibuni!! Huyo shetani wako si alikataza watu wasikusanyike kumuombea Lissu? Shetani wako si alikataza watu wasitoe damu ya kumsaidia Lissu? Alimfukuza Nyalandu kisa tu kaenda kumuona Lissu! Huyo Samia ni mmoja wa viongozi wachache walioenda kumuona Lissu hospitali, Shetani lilifura ila likaona aibu maana katiba kwenye upande wa Makamu wa Rais ipo very straight, CDM hawatamsahau Samia kwa hilo! Haya makwaruzano mengine ya CDM na Samia ni mikwaruzano ya kisiasa ambayo ipo kila nchi kati ya oppossition na ruling side! Nyambaf zako
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
utafiti wa wasio na dini Umetutoa wapi?
 
naona baada ya mwingira kuwaambia ukweli mmefura, sasa yanawatoka tu, jifunzeni kuheshimu haki za wengine ili nanyi mpate kuheshimiwa.
Mwingira ni muhuni kama wahuni wengine,
Totoz saana sasa kam anakula bitu vya watu wasimtafute kwa nini?

Ogopa ukimnyang'anya mtu mwenye kipato kidoga mlembo alafu akidhani umetumia uwezo wako wa kifedha kumnyanyasa.
Anaweza kukutoa roho
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hutomkuta kiongozi wa dini y kiislamu akifanya hivyo
 
Wewe mpuuzi sana, chuki zako kwa Samia zipo wazi!! Hapa unachojaribu kufanya ni kutafuta kuungwa mkono na CDM katika upuuzi wenu, uzuri wameshawashtukia! Kipi kibaya kati ya kumpiga risasi Lissu hadharani, kumuua Ben Saanane na Mbowe kupewa nafasi ya kesi yake kusikilizwa hadharani? Kipindi cha huyo shetani wako CDM wangeruhusiwa kuripoti live hiyo kesi? Wazungu wangeruhusiwa kuhudhuria? CDM Wangeruhusiwa kuvaa Tisheti za kudai katiba mpya mahakamani? Wangeruhusiwa hata kukata keki yenye ujumbe wa kisiasa mahakamani? Huyo Shetani wako si alimtoa IGP sababu tu hakuwapiga wafuasi wa Manji na Gwajima walioenda kusapoti watu wao mahakamani? Watu hawajasahau ushetani uliofanyika awamu ya 5 na hawatasahau karibuni!! Huyo shetani wako si alikataza watu wasikusanyike kumuombea Lissu? Shetani wako si alikataza watu wasitoe damu ya kumsaidia Lissu? Alimfukuza Nyalandu kisa tu kaenda kumuona Lissu! Huyo Samia ni mmoja wa viongozi wachache walioenda kumuona Lissu hospitali, Shetani lilifura ila likaona aibu maana katiba kwenye upande wa Makamu wa Rais ipo very straight, CDM hawatamsahau Samia kwa hilo! Haya makwaruzano mengine ya CDM na Samia ni mikwaruzano ya kisiasa ambayo ipo kila nchi kati ya oppossition na ruling side! Nyambaf zako
Ntakacho kuambia wewe ni hiki uijui CCM.

CCM sio chama cha mchezo x2 kama mnavyodhani kina walinzi wake ambao wanakilinda chama usiku na mchana wapo pande mbili; upande mmoja usalama wa taifa mwingine ustawi wa chama chao.

Kuna maamuzi mengine ya upande wa usalama wanachukua wana mpa mwenyekiti wao kabla ya maamuzi ya serikali aamue; maamuzi hayo hayo raisi anapewa na washauri if he/she bothers to read

JPM angekuwa na shida na Mbowe alikuwa na hizo info kabla ajafa; Samia kapewa hizo info baadae anashauriwa tu na walinzi wa CCM yeye ndio mwenye uwezo wa kuwapiga stop au waendelee.

Mbowe was stupid kuamini anaweza isumbua serikali. Magufuli had all the same facts aliamua kumuacha tu baada ya kumuona mjinga; but then walinzi wa CCM don’t rake things lightly.

Ebu tafuta video za uchaguzi wa raisi halafu angalia kati ya watu wanaomzunguka mgombea wa CCM ni wangapi vigogo serikalini (na maanisha wafanyakazi wa Ikulu inayotoka).

Sitaki kuondolewa kucha tu; nakupa hizo facts CCM sio lelema. Kuwatukana mitandaoni ujue mipaka yako bro.

Kumkosoa mwenyekiti wa CCM na wapambe waje jua mipaka yako.

Binafsi Kamwe siwezi tishwa na mtu kama Nape au Ummy regardless of the risks involved.
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umeangukiwa na kitu kizito kichwani...rangi zote utaona.... Viongozi wa Dini hawaombi kuthaminiwa. Wananchi wana wathamini wenyewe inatosha. Waseme tu ukweli....
 
Kajindoshea yeye mwenye kitu kizito; Mbowe kajitakia hapo halipo.

Kesi yake kwa watu makini kama JPM waliipuzia na kama usalama walijua his nonsense plot was never going to amount to anything other than ujinga wa CDM.

Ila kuna watu awakuridhika na huruma wa Magufuli walikuwa wanamlia timing to Mbowe.

Mama Samia ni mtu wa kulishwa matango pori hiyo ni kesi ya usalama wa CCM kushinda raisi wa nchi.

Evidence zake ni weak ila Mbowe alijitakia uhuru wake utatokana na huruma ya Samia tu; msisahau JPM aliyajua yote aliamua tu kumuacha.
Ni kweli mkuu JPM alikuwa mtu makini hasa kwenye kipengele Cha kuchafua uchaguzi,kuchafua nyumba za ibaada kwa kujifanya mcha Mungu kumbe ni msaidizi namba 1 wa shetani, kuua na kuteka. Hilo halina ubishi.
 
Umeongea point sana kuna ujinga kama huu wa kuwafanya hawa watu wanaoibia watu sadaka kwa kuwatisha tisha kuhusu kifo na kuchomwa moto kuthaminiwa katika shughuli rasmi. Sijawahi kuona kiongozi ulaya akitaka kuhutubia eti anatanguliwa na maombi sijui nini ujinga mtupu
Kwani lazima tanzania tufanye kama ulaya kwani ww ni wa ulaya...
 
Umeongea point sana kuna ujinga kama huu wa kuwafanya hawa watu wanaoibia watu sadaka kwa kuwatisha tisha kuhusu kifo na kuchomwa moto kuthaminiwa katika shughuli rasmi. Sijawahi kuona kiongozi ulaya akitaka kuhutubia eti anatanguliwa na maombi sijui nini ujinga mtupu
Enzi za awamu ya 5,mlikuwa mnawaweka mbele kwenye kila jambo mfano kuomba Corona iondoke, kuombea mvua na kuwaombea nyie watumbua majipu.

Leo mnawaona wahuni kisa wamewaponda....vumilieni tu.
 
Ni kweli mkuu JPM alikuwa mtu makini hasa kwenye kipengele Cha kuchafua uchaguzi,kuchafua nyumba za ibaada kwa kujifanya mcha Mungu kumbe ni msaidizi namba 1 wa shetani, kuua na kuteka. Hilo halina ubishi.
Hearsay

Such nonsense

Uwezi thibitisha upuuzi wako.
 
Leo ndio akili zimekujia, enzi za jiwe wakati wote wanaimba mapambio hukuyajua haya?
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Na pia mali wanazomiliki kwa majina binafsi huku wakisingozia za Kanisa walipe Kodi.

Rwanda imekomesha upuuzi wa Hawa Matapeli wa dini.
 
Back
Top Bottom