Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

Kazi y dini ni kuhubiri kuhusu ufalme wa mbinguni.

Tulipokuwa tunasema kuwa Magufuli anatumia viongozi wa dini kuficha uovu wake, mlikuwa mnasema viongozi wa dini kwenye hafla zake ni ishara kuwa yeye ni mcha Mungu. Leo aliowatumia kuhadaa umma ili kuficha uovu wake wanaweka ukweli hadharani. Ukweli huchelewa tu.
 
Poto poto blaah blaa pototo poto blaah blaa, msenge wewe utakufa kifo cha ajabu sana kumlaumu marehemu hajakukosea chochote we kasa.
 
Poto poto blaah blaa pototo poto blaah blaa, msenge wewe utakufa kifo cha ajabu sana kumlaumu marehemu hajakukosea chochote we kasa.

Acha kupanick, ukweli huwa unaumiza, hivyo jifunze kuvumilia tu.
 
Na mtatoka sana mapangoni 🤣🤣🤣🤣
 
Vikosi maalum ni vipi mkuu
 
Mbivu na mbichi mweleze akiwa mzima si opinion yako tu.

Akina Hitler, Iddy Amini nk ukweli wao unasemwa mpaka leo itakuwa yeye? Lisu alisema ukweli wake akaishia kumiminiWa risasi, hivyo acha ukweli uendelee kusemwa sasa. Ni jukumu lako ww kumtetea maana ulifaidika na uovu wake.
 
Kaka Lakini kumbuka hii ni serikali ya chama chako pendwa chenye msururu wa matukio ya kuwatumja vibaya kisiasa hawa the so called/self proclaimed religious leaders!
 
Dictator uchwara alitumia podium uchwara kujitia uchamungu uchwara... Mtu wa namna hii kumtetea kazi, labda uwe kiazi.
Nature abhors vacuum.. Alikuwa WORST PRESIDENT EVER.
 
Dictator uchwara alitumia podium uchwara kujitia uchamungu uchwara... Mtu wa namna hii kumtetea kazi, labda uwe kiazi.
Nature abhors vacuum.. Alikuwa WORST PRESIDENT EVER.
Mtalaumu mpk lini mafala nyie huyo kashaondoka endeleeni na life nyingine nyie watu.
 
Naona vitoto vya shetani vimekuja kumtetea shetani na mtoto wake wa pale Ikulu.

Napenda kurudia hili na kusisitiza hapa; Ikulu kuna shetani na mtoto wa shetani ndio anaongoza sasa!
 
Akina Hitler, Iddy Amini nk ukweli wao unasemwa mpaka leo itakuwa yeye? Lisu alisema ukweli wake akaishia kumiminiWa risasi, hivyo acha ukweli uendelee kusemwa sasa. Ni jukumu lako ww kumtetea maana ulifaidika na uovu wake.

Lissu alisema Ukweli upi? Acha kumpa hadhi mpumbavu.
 
Tatizo hili alililea mwenyewe JPM kwa kuambatana na hawa watu kila aendako, matokeo yake wameota mapembe na kujiona na ni sehemu ya Serikali na lazima hoja zao zisikilizwe..... twendeni misikitini, twendeni makanisani kwa wale wenye kuamini, Mambo ya serikali iachiwe serikali na serikali ijifunze kujitenga na hawa watu..

Makonda akiwa RC alikuwa kila kukicha anabadili vigango na kuhubiri dini makanisani kama mchungaji...matokeo yake ndio haya sasa...
 
Viongozi wengi wa Serikali na Siasa ni wanafiki,ndio maana wengi wao hujifanya kujinyeyekeza kwa hawa wamiliki wa makanisa kiasi cha kuwatukuza....matumizi ya hawa viongozi wa dini kwenye hizi siasa zetu ni hatari sana na ni bomu ambalo tunalilea, siku likilipuka tutaiingiza hii nchi kwenye changamoto ngumu sana...
 
Wengine kikubwa raisi Samia anachotukera ni upole.

Mtu anaemwita ‘bi tozo’ shetani lazima ana matatizo.

Mama Samia ni mmpole mno for our liking
 
Mwingira kawadondoshea kitu kizito
 
Kama alipendwa si angelindwa mbona alikufa kifo cha aibu hata kutangaza ilikuwa mbinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…