Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

Mwingira kawadondoshea kitu kizito
Kajindoshea yeye mwenye kitu kizito; Mbowe kajitakia hapo halipo.

Kesi yake kwa watu makini kama JPM waliipuzia na kama usalama walijua his nonsense plot was never going to amount to anything other than ujinga wa CDM.

Ila kuna watu awakuridhika na huruma wa Magufuli walikuwa wanamlia timing to Mbowe.

Mama Samia ni mtu wa kulishwa matango pori hiyo ni kesi ya usalama wa CCM kushinda raisi wa nchi.

Evidence zake ni weak ila Mbowe alijitakia uhuru wake utatokana na huruma ya Samia tu; msisahau JPM aliyajua yote aliamua tu kumuacha.
 
LUMUMBA BUKU seven seven [emoji1787][emoji1787].
Yule aliyelala chato wakati yupo kwenye sakaratul mauti waliitwa viongozi wa dini wamuombee.
Samia usije ukajaribu huu ushauri ni mbaya.hakuna nchi isiyokuwa na viongozi wa DINI.
Ndo maana hata winbo wa taifa unaanza na "MUNGU IBARIKI"
Viongozi wa dini ndo wawakilishi wa Mungu hapa duniani.
Mimi nimesoma madrasa nimefundishwa na kiongozi wa dini Ina maana bila kiongozi wa dini Mimi nisingemjua Mungu
 
Kuna kesi pale? Kupoteza muda tu shahidi wa kumi BADO kosa halionekani
 
Hii tactic itafanya kazi kwa ushauri alionao Samia kwa sasa.

Magufuli alikuwa mcha Mungu mwenye mipaka fu*k with me, I do the same to you.
Aliweza hivyo kwa sababu wanaoingia makanisani na misikitini walikuwa nyuma yake.

Huo mziki mtamtishia Samia kama ilivyo kwa JK ila sio kwa raisi anaejitambua.

Kwa raisi anaejitambua kesho unajielezea polisi.
 
Kuna kesi pale? Kupoteza muda tu shahidi wa kumi BADO kosa halionekani
Kamkuta mama ni mwenye huruma.

Amuulize Gwajima, Magufuli alikuwa tayari kusifiwa na yeye hila asiwaguse watu wake.

Siku Gwajima alipomtukana Jakaya Kikwete alionyeshwa mipaka yake na Magufuli.
 
Kamkuta mama ni mwenye huruma.

Amuulize Gwajima, Magufuli alikuwa tayari kusifiwa na yeye hila asiwaguse watu wake.

Siku Gwajima alipomtukana Jakaya Kikwete alionyeshwa mipaka yake na Magufuli.
Mkuu! Samia,magufuli kikwetena ccm yote wahuni tu
 
Mkuu! Samia,magufuli kikwetena ccm yote wahuni tu
Mkuu Samia ni ungaunga tu mpaka alipofika either kupitia gender equality balances or lapse of concentration no one thought there will be COVID and the incumbent president might die.

Right now she is just a victim of circumstances with no clue on how to run a country. Wahuni wanataka kumtumia kuturudisha nyuma.

Polepole kachukua hiyo vita, wasiomwelea hana shida na raisi Samia; vita yake ipo na wahuni.

Yaani raisi Samia anataka kutuambia Ummy Mwalimu ni better kushinda Jaffo TAMISEMI surely tuna wakati mgumu.

Nobody cares kuhusu wazee wa CCM chama ni taasisi sio mtu ujiunge 1960
au 2015 muhimu ni kuelewa na kuheshimu katiba ya chama. Ya pembeni tutajifunza baadae.

Go Poleple go
 
Alipendwa na maskini wa akili labda
 
MKISHAPIGWA NA KITU KIZITO NDIO MNAKUJA NA MASHAIRI MBONA MKISHA CHSGULIWA AU KUTEULIWA MNAAPISHWA KABLA YA KUANZA CHOCHOTE NONSENCE
 
Askofu amefukiza moshi shimoni WAHUNI mnatapatapa😊
 
Kazi y dini ni kuhubiri kuhusu ufalme wa mbinguni.
Dini ni miongoni mwa taasisi tano ambazo hutumika kushape tabia za jamii husika. Kuna kipindi serikali hutoa rai kwa viongozi wa dini kuwapa maelekezo waumini wao.

Jibu lako ni limited sana.
 
Askofu amefukiza moshi shimoni WAHUNI a
Kitendo cha kumtukana raisi Samia kwenye nyumba za ibada akitovumuliwa.

Akosolewe kwa mustakabali wa kitaifa sio dini.

Wahuni wasitumie dini kwenye siasa.
 
Hivi Mwingira amesomea wapi theolojia? Au ni amekurupukia kwenye utume na unabii tu bila kujifunza miguuni pa Gamalieli mwalimu mkuu?
 
“Mshindi ni Mshindi tu, Mungu yupo ndani yake, kati ya aliyepigwa risasi na aliyeiba kura nani yupo hai?” - Askofu Josephat Mwingira
 
Sasa kumbe unaijua realty ?! Unawatambia nini sasa Cdm , ikiwa kesi ni ya kubumba ?!. Upuuzi huo usipokemewa na kuondokana nao, then tutaendelea kuwa na taifa la wengine dhidi wengine !!.

Watambie wapinzani wa Ccm kwa udhaifu wao na si kwa uwezo wa kuwasingizia kesi .
 
Poto poto blaah blaa pototo poto blaah blaa, msenge wewe utakufa kifo cha ajabu sana kumlaumu marehemu hajakukosea chochote we kasa.
Punguza jazba.

Mwingira amewabananisha kwenye kona ya kitanda kweri-kweri 😂
 
Tanzania kama nchi ya chama kimoja ina Safu mbili ya usalama.

Wote hao wamealiwa TISS

Kuna watu wapo TISS jukumu lao ni kuilinda CCM tu wapo kila mahala.

Na kuna watu wapo kwa usalama wa taifa tu.

Uwezi kujua yupi ni yupi wale walio kwa ajili ya CCM wapo tayari kufanya lolote kukilinda chama.

Raisi wa nchi kama mwenyekiti wa chama ndio mwenye mamlaka ya kuzia TISS CCM.

Kesi ya Mbowe Magufuli alikuwa nayo muda tu; akutaka kuwapa kiki CDM.

Samia kapewa kiporo cha kesi kwa sababu wahusika ni walewale dedicated walinzi wa CCM ndani ya system it’s complicated (lakini sio kwamba Magufuli alikuwa hajui huo upuuzi); yeye Samia hana uwezo wa kupima madhara ya kisiasa kwa kesi ya Mbowe kawaachia uwanja walinzi chama.

Kujiongopea maiti za wa Ethiopia na Eritrea zilizokuwa zinaokotwa pwani ni watu ambao Magufuli alikuwa anawadhuru akuto wasaidia.

Shida sio mama Samia; shida ni wahuni kama huyu anaetaka kuleta udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…