Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Awareness kama tunayo inatosha ss kujikinga wenyewe. Serikali haijakataza raia kujikinga na covid.Itc like Rich people are aware of this. Ila sisi makapuku tunatumiaga tu akili za kuambiwa kama nyumbu. Leo nmepishana na gar ilikuwa ni kama mtu na familia yake. Wote wamevaa barakoa kwenye gari. Na wamejifungia vioo full ac. Nikajiuliza sasa hapa nani ni mpumbavu...sisi tunaosubiri magufuli atuambie tuvae au tusivae barakoa ao hao waliojiamlia kuvaa na kufata taratibu kujilinda na covid.
Swali lingine nimejiuliza.
Hivi inaicost serikal kiasi gani kuwapa awateness wananch juu ya kujikinga na covid 19?
Haukuwa na tatizo lengine la kiafya ilikuwa ni corona tu?Hii kitu ( covid 19) imenilaza hospital kwenye oxygen for 3 weeks December 2020
Dalili za corona hazifanani na magonjwa mengine yani hakuna magonjwa ambayo yana dalili sawa na corona?Kuna rafiki yangu yupo morogoro amenipigia simu Leo kuniambia kuwa Corona ipo nichukue tahadhari
Mtaani kwao modeko wamezika mtu alikuwa na dalili zote za Corona alipokuwa hai.
Nakumbuka mwaka juzi 2019 mwishoni watu tuliumwa sana na hadi leo hatujajua ni nini kilikuwa chanzo, ila kama hali hiyo ingetokea mwaka jana hadi mwaka huu basi tungerahisisha tu kuwa ni corona.kuwa makini, kikohozi kikali na matatizo ya kupumua yanatafuna watu kimyakimya
Mimi na wewe kwa sababu tuna kielimu kidogo tunaweza kuamini kuwa korona ipoCorona ipo chukua tahadhali tuanze kujifukiza ingawa sijathibitisha ila kuna mtu amefariki naambiwa alikuwa na dalili zote za Corona kitendo cha serikali kukaa kumya haimaanishi usichukue tahadhali
Ingekuwa vizuri tungeangalia zile sehemu ambazo watu wengi hukutana mara kwa mara ndio tungechunguza hali ikoje ili tuweze kujua athari za corona,ila hii ya sijui watu wanasema lakini hapohapo wengine hawaoni inakuwa kama tunaishi nchi mbili tofauti.Imeshangata family members au jirani zako wangapi?? Labda tuanzie hapo. Nadhani kila mtu aanzie kwa immediate family members na sio hadithi za sijui mtaani wanasema nini, kama mtaani ipo na familia zetu pia zipo huko huko mtaani so hawawezi ugua au kufa bila sisi kujua
Wewe unaepinga upo kila mtaa, Kijiji na wilaya?Imeshangata family members au jirani zako wangapi?? Labda tuanzie hapo. Nadhani kila mtu aanzie kwa immediate family members na sio hadithi za sijui mtaani wanasema nini, kama mtaani ipo na familia zetu pia zipo huko huko mtaani so hawawezi ugua au kufa bila sisi kujua
Ninapowapendea WaTZ ni hapa tu, ubishi na ukweli anaujua!!Dalili za corona hazifanani na magonjwa mengine yani hakuna magonjwa ambayo yana dalili sawa na corona?
Wanabahati kwakuwa walikuwa ndani ya gari.Itc like Rich people are aware of this. Ila sisi makapuku tunatumiaga tu akili za kuambiwa kama nyumbu. Leo nmepishana na gar ilikuwa ni kama mtu na familia yake. Wote wamevaa barakoa kwenye gari. Na wamejifungia vioo full ac. Nikajiuliza sasa hapa nani ni mpumbavu...sisi tunaosubiri magufuli atuambie tuvae au tusivae barakoa ao hao waliojiamlia kuvaa na kufata taratibu kujilinda na covid.
Swali lingine nimejiuliza.
Hivi inaicost serikal kiasi gani kuwapa awateness wananch juu ya kujikinga na covid 19?
Ukivaa barakoa hadharani utashitakiwa kwa kosa la uhujumu uchumiCorona ipo chukua tahadhali tuanze kujifukiza ingawa sijathibitisha ila kuna mtu amefariki naambiwa alikuwa na dalili zote za Corona kitendo cha serikali kukaa kumya haimaanishi usichukue tahadhali
Inacho cost ni watu kuwa na hofu kuanzia raia wa kawaida hadi wauguzi, angalia kipindi kile mwanzo ambapo serikali imetangaza kuna corona na inatoa taarifa za wagonjwa na vifo, ilikuwa inaonekana hali inazidi kuwa mbaya mpaka watu wakawa wanafikiria kuwa Jiwe anaweza kutumia nafasi hiyo kuahirisha uchaguzi. Ila baada ya kuwatoa watu hofu na hali ikabadilika kiasi hata wale ambao walikuwa wakipinga kwa Jiwe kutangaza kuwa hakuna corona nao sasa et wanasema ile awamu ya kwanza tulinusulika sijui corona haikuwa na athari sana.Itc like Rich people are aware of this. Ila sisi makapuku tunatumiaga tu akili za kuambiwa kama nyumbu. Leo nmepishana na gar ilikuwa ni kama mtu na familia yake. Wote wamevaa barakoa kwenye gari. Na wamejifungia vioo full ac. Nikajiuliza sasa hapa nani ni mpumbavu...sisi tunaosubiri magufuli atuambie tuvae au tusivae barakoa ao hao waliojiamlia kuvaa na kufata taratibu kujilinda na covid.
Swali lingine nimejiuliza.
Hivi inaicost serikal kiasi gani kuwapa awateness wananch juu ya kujikinga na covid 19?
Sio ubishi mkuu, ipo wazi kuwa yapo magonjwa ambayo hufanana dalili na corona ila kwa kuwa sasa kuna ugonjwa unaitwa corona basi tunasahau kuwa pia kuna magonjwa ambayo yapo kabla ya corona ambayo hufanana dalili na corona. Mtu hujui kafa kwa nini ila unakuja hapa unaeleza kuwa corona ipo halafu unamalizia kusema kuna mtu kafa alikuwa na dalili kama za corona. Sasa hapo una maana gani ?Ninapowapendea WaTZ ni hapa tu, ubishi na ukweli anaujua!!
Tanzania si kisiwa kwamba usiingie, kasema alikuwa na dalili kama....!! Mtu anauliza hakuna magonjwa mengine!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi ukivaa barakoa wale mashushushu walio mitaani wanakudaka?Ukivaa barakoa hadharani utashitakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi
DuHii kitu ( covid 19) imenilaza hospital kwenye oxygen for 3 weeks December 2020