Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Syo Kwa vile Vichuguu vya tanuru za kuchoma Maiti🙄🙄Hadi Mwili wasisimkaKule India Visa vya Covid 19 vimepamba moto zaidi ya laki 2 kila siku wanaambukiza na 1% wanakufa.
kuna wafanyabiashara wanaenda au wanatoka huko.
Tunaitaji kuwa na mikakati ya kujikinga na janga hili.cha kufanya pale airport tuwe makini .Mgeni awe wa nje au wandani anapongia aonyeshe cheti cha kwamba amepima lakini pia apimwe.tukumbuke kuwa chanjo haizuii kuambukizwa covid 19 hivyo mtu kuonyesha kuwa amechanjwa siyo salama sana.
Tuendelee kuchukua tahadhali pia na kuendelea kuliombea Taifa letu