#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Nakaribisha maoni
Ufisadi wa mwendazake ni mkubwa kuliko Corona. Tunajadili mambo makubwa kwanza. Corona haijaua watu wengi kama mwendazake....

Subiri tumalize kwanza ripoti ya CAG, usitutoe kwenye mstari.

Corona ishaundiwa kamati huko
 
Ukimjadiri aliyekufa unapata nini, mtu kafa kafa nayake focus ya mbele.
 
Covid ni ya msimu kwetu inaanza mwezi wa kumi na moja hadi mwezi wa nne inaisha kabisa hii itakuwa hivi kila mwaka. Kwa hiyo tutaishi nayo miaka yote kama yalivyo mafua.
 
Inawezekana,ila inaweza pia ilikuwa ni vita ya kuchafuana...
 
Zipo chanjo karibia sita na watu wanacjanjwa usiku na mchana,haya majilabu ya kusema tusubiri wataalamu wetu wapitishe wapasishe wapokee hili na lile ni kutaka tuongezeke kufa na kufa kama hao wapendwa waliopotea karibuni wakisingiziwa maradhi haya na yale,kiukweli corona imewasomba,hilo hakuna wa kulipinga kama mtatakiwa kuapa.

Ni ngumu kusema ipi ni chanjo bora kwani hazikulinganishwa moja kwa moja katika masomo. Lakini wataalam wanasema chanjo ni sawa juu ya mambo muhimu zaidi: kuzuia kulazwa hospitalini na vifo.

"Kwa bahati nzuri, chanjo hizi zote zinaonekana kama zinatukinga na magonjwa mazito," alisema Daktari Monica Gandhi wa Chuo Kikuu cha California, San Francisco, akinukuu matokeo ya utafiti wa chanjo tano zinazotumika ulimwenguni kote na ya sita ambayo bado inaangaliwa.

Na ushahidi wa ulimwengu halisi kama mamilioni ya watu wanapokea chanjo zinaonyesha wanafanya kazi vizuri sana.

kwa ufupi tuleteeni mtakayoipata mwanzo na inayotoka katika sehemu zinazojulikana sio za kupitia uchochoroni kwani kuna wapigaji wana chanjo za uwongo ila zimefanana ,msitafute mitandaoni agizeni kupitia njia zilizo wazi kabisa,

Mitaani hatuhemi vizuri na malimau yanaisha na yanakuja kwa msimu,corona itakuja kuvizia mali msimu wa malimau umeisha ianze kutulaza .
 
Serikali na wenzako na matarishi kama mtaisoma hii ,tafadhalini sana sana ,mikakati yote wekeni kando ,uhai kwanza ndio safari iendelee.

Ila bila ya uhai hakuna safari itakayoendelea tusiwe vichwa maji,ukipata chando hata nyungu zitakuwa boosted ,kuliko ilivyo na tulipo ukipata korona basi uhai na kupona ni fifte fifte.

na iachwe anaetaka nyungu anaetaka chanjo,tuendako kama huna chanjo huingii wala hutoki na kutakiwi ,kwa japo iwepo na mtu asilazimishwe kihiiiivyo .ila iwe lazima,rona ana hadaa sana.
 
Mbona tukienda huko nje wanataka kadi ya manjano, na hazija acha kupatikana! Hata wakihitaji za Covid zitapatikana pia.
 
Zipo chanjo karibia sita na watu wanacjanjwa usiku na mchana,haya majilabu ya kusema tusubiri wataalamu wetu wapitishe wapasishe wapokee hili na lile ni kutaka tuongezeke kufa na kufa kama hao wapendwa waliopotea karibuni wakisingiziwa maradhi haya na yale,kiukweli corona imewasomba,hilo hakuna wa kulipinga kama mtatakiwa kuapa.

Ni ngumu kusema ipi ni chanjo bora kwani hazikulinganishwa moja kwa moja katika masomo. Lakini wataalam wanasema chanjo ni sawa juu ya mambo muhimu zaidi: kuzuia kulazwa hospitalini na vifo.
"Kwa bahati nzuri, chanjo hizi zote zinaonekana kama zinatukinga na magonjwa mazito," alisema Daktari Monica Gandhi wa Chuo Kikuu cha California, San Francisco, akinukuu matokeo ya utafiti wa chanjo tano zinazotumika ulimwenguni kote na ya sita ambayo bado inaangaliwa.

Na ushahidi wa ulimwengu halisi kama mamilioni ya watu wanapokea chanjo zinaonyesha wanafanya kazi vizuri sana.

kwa ufupi tuleteeni mtakayoipata mwanzo na inayotoka katika sehemu zinazojulikana sio za kupitia uchochoroni kwani kuna wapigaji wana chanjo za uwongo ila zimefanana ,msitafute mitandaoni agizeni kupitia njia zilizo wazi kabisa,

Mitaani hatuhemi vizuri na malimau yanaisha na yanakuja kwa msimu,corona itakuja kuvizia mali msimu wa malimau umeisha ianze kutulaza .
Wazo zuri sn
 
Chanja na familia yako
 
Back
Top Bottom