Kwahiyo ni lazima unachowaza wewe kila mtu awaze hivyo hivyo!?,,Mimi hata ukifa ukoo wako wote kwa Corona hunivalishi matambala(mask) mdomoni. Ndo njia niliyoichagua.Huu ugonjwa ungekuwa kama AIDS isingekuwa tatizo. Shida kubwa hata kama unajikinga mwenzako akiwa mzembe asilimia.za huyo mzembe kukuambukiza ni kubwa mno!
Bila wote kujali wote tutapata tu! Ndo maana ni muhimu kila mtu kumlinda mwingine! Kama unajilinda jirani yako hajilindi ni kazi bure!
Nenda Kariakoo au sehemu yoyote yenye mikusanyiko uone watu walivyo bize bila balakoa na hafi mtu. Kuna wakati huwa nadhani mnaopiga kelele za Corona nyote mnaishi kwenu au kwa shemeji na ni mayaimayai, wanaopambana kujilisha huwezi kuwakuta wanapiga kelele za sijui social distance, sijui kunawa mikono. Hao ni watoto mayai tu wanaoogopa Corona.