Labda wakuvushe barabara,waziri utafikiria ngariba
 
Msaada kidogo.
Hivi kuna korona au nimonia kali.
Na tunajikinga na nini kati ya viwili.
Tunaomba nini kati ya viwili.

Kauli iliyonyooka ya serikali ni IPI.

Mimi Binafsi lakn katika vyote sina wasiwasi maana vitapita tu ndani ya siku chache Mungu atatupigania.

Tusihofu
 
Kufungwa shule sio sawa na lockdown! Mimi sihitaji lockdown,ni mvuja jasho tu,siwezi kumudu ugumu wa maisha kwa kujifungia ndani.

Nilichomaanisha kama walimu waugua,huoni watoto wetu wapo hatarini pia?

Mimi wa kwangu wapo private,nimelipa mahitaji yao yote kisha nimekwenda kuwaomba walimu ruhusa kwamba tuna matatizo kijijini,hivyo watoto hawatahudhuria masomo kwa mwezi mmoja.

Watakaa ndani,mimi nitatoka kuwatafutia mkate,huko nitachukua tahadhari zote ili nisiubebe ugonjwa huko kwenye mihangaiko kuupeleka nyumbani.
 
[emoji106]
 
Kitu ambacho wa tz hatukitambui ni hivi:-

Kila inapofika mwezi wa Januari mpaka mwezi Aprili Tz huwa kuna ongezeko kubwa la vifo,.

Mi nipo monchwali moja kubwa tu hapa tz nina uhakika na ninachokisema sana sana 2016.
 
Najua umefanya hivyo kama njia ya kuwaepusha watoto wako na hili janga lakini je kama mzingira tulionayo hivi sasa hayatakuwa na mabadiliko chaja na watoto wako wako nje kimasoma huoni kama wataachwa vibaya mno na wenzao lkn swali la pili ulijiuliza kuwa baada ya huo mwenzi mmoja kuisha na yasionekane mabadiliko then what next watakuwa nyumbn mpaka lini?
 
Kitu ambacho wa tz hatukitambui ni hivi:-

Kila inapofika mwezi wa Januari mpaka mwezi Aprili Tz huwa kuna ongezeko kubwa la vifo,.

Mi nipo monchwali moja kubwa tu hapa tz nina uhakika na ninachokisema sana sana 2016.

Afadhali mkuu uje utusaidie maana kuna watu wanataka kuendelea kutuletea hofu kwenye jamii zetu
 
Hawasomi kushindana na wengine, wanasoma kupata maarifa na kujitambua tu.hata wakikaa mwaka nyumbani,sawa tu.

Nachotaka tu wasiwe hatarini na huu ugonjwa.

Mimi pia nilikuwa napinga sana uwepo wa huu ugonjwa, lakini kwa hivi vipigo mfululizo, nimenyoosha mikono juu[emoji119][emoji119]
 
Afadhali mkuu uje utusaidie maana kuna watu wanataka kuendelea kutuletea hofu kwenye jamii zetu
Na hii hali mara nyingi inasababishwaga na mafua makali ya mwezi Desemba,. Hivyo kupelekea watu wazima wengi kushindwa kupambana na hiyo hali na kujikuta wakipoteza maisha Januari
 
Aiseeee!nje ya mada mkuu wewe ni muhaya[emoji38]
 
Kitu ambacho wa tz hatukitambui ni hivi:-

Kila inapofika mwezi wa Januari mpaka mwezi Aprili Tz huwa kuna ongezeko kubwa la vifo,.

Mi nipo monchwali moja kubwa tu hapa tz nina uhakika na ninachokisema sana sana 2016.
Tatizo nini hasa hiyo miezi?
Oh nimeona umesema mafua, je ni mafua ya kawaida au ya aina gani?
 
Na hii hali mara nyingi inasababishwaga na mafua makali ya mwezi Desemba,. Hivyo kupelekea watu wazima wengi kushindwa kupambana na hiyo hali na kujikuta wakipoteza maisha Januari

Naomba kutoa ushuhuda kwenye hili coz hata mimi pia kwenye huo mwezi nilipata mafua yasio ya kawaida na nilikuja hapa kutoa taarifa lkn nashukuru baadae yalikuja kuisha kwa mapambano makali na hatimae nilishinda tena bila nyungu wala juice ya tangawizi
 
Yes. Miaka ya nyuma ilikuwa tunaita tu mafua makali.
Kila mwezi Desemba wengi hupatwaga na hilo tatizo ila wakati huu hili tatizo limebatizwa jina jipya na hapa ndio kwenye tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…