#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Moja ya athari hizo yawezekana waliopata chanjo hizi wakapoteza uwezo wa kuzaana.Kwa wanaume kukosa nguvu na mbegu za uzazi na kwa wanawake kukauka mayai ya uzazi kupelekea kushingwa kubeba mimba.

Ikitokea hali hiyo ndipo wakati wale watu wa nchi zilizokataa kuwachanja watu wao kwa lazima watukuwa ni mali sana duniani.Tanzania ikiwa moja ya nchi hizo kunaweza kukawa na harakati kubwa ya wanaume wa Tanzania kusafirishwa kimagendo kwenda nchi za wazungu ili wakaoe idadi ya wake wanaowataka kwa ajili ya kuhuisha kizazi cha binadamu kwenye miji ambayo wanyama na wadudu watakuwa wameongezeka sana kutokana na kupungua kwa watu.
Mbona priority ya kuchanjwa ni wale walio over 60? Sidhani kama hao wengi wao bado wana proiority ya kuzaana!

Pili kama waliotengeneza chanjo wao wenyewe inawamaliza, then huo ni ujuha wa hatari, na siwezi kuamini hivyo.

Kuna contradiction nyingine, kama wanawake wao nao wanachanjwa na hivyo kuosa uwezo wa kuzaa sasa sisi wanaume wa TZ tunakwenda kuhuisha kizazi kipi (bila wanawake)?

Ndugu yangu soma vitabu vya dini - mbinguni kuna wanawake wengi na wazuri na ukifika huko utaweza kuoa wengi tu! Tafuta kwenda mbinguni
 
Worrying is like walking around with an umbrella, waiting for it to rain’
 
1. Mwele malechela alitangaza Kuna zika kilichompata tulikiona.

2.Kule sumbawanga walipata ugonjwa wa ajabu mwezi uliopita diwani na dmo walilisemea kwenye media yaliyotokea mliyaona.

3.Kidato Cha nne 2020 walikaa nyumbani nusu mwaka mzima kumbuka walipokuwa mapumzikoni hakukuruhusiwa mikusanyiko kwahiyo hawakuwa na tuition pia ila UFAULU wao ulivunja rekodi nadhani piko la upishi wa matokeo lilikuwa piko biriani.

4. Watu wengi wamekufa Sana baada tu ya kutangazwa second wave ya korona huko ulaya na nchi yetu kuwa listed kwa afrika mpaka mwakamu wa kwanza kule Zanzibar alikufa kwa kupata maambukizi ya korona kwa mujibu wa chama chake lakini mpaka Leo tunaambiwa hakuna korona.

5. Tanzania nzima kwasasa Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya ushahidi upo humu jamiiforums nyuzi za tanesco zipo kibao lakini husikii tanesco wakikiri Hilo wazi.

Kiufupi tatizo lipo shida Ni "OLE WAKO USEME"

TAFAKARI.
 
let's go 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
1. Mwele malechela alitangaza Kuna zika kilichompata tulikiona.

2.Kule sumbawanga walipata ugonjwa wa ajabu mwezi uliopita diwani na dmo walilisemea kwenye media yaliyotokea mliyaona.

3.Kidato Cha nne 2020 walikaa nyumbani nusu mwaka mzima kumbuka walipokuwa mapumzikoni hakukuruhusiwa mikusanyiko kwahiyo hawakuwa na tuition pia ila UFAULU wao ulivunja rekodi nadhani piko la upishi wa matokeo lilikuwa piko biriani.

4. Watu wengi wamekufa Sana baada tu ya kutangazwa second wave ya korona huko ulaya na nchi yetu kuwa listed kwa afrika mpaka mwakamu wa kwanza kule Zanzibar alikufa kwa kupata maambukizi ya korona kwa mujibu wa chama chake lakini mpaka Leo tunaambiwa hakuna korona.

5. Tanzania nzima kwasasa Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya ushahidi upo humu jamiiforums nyuzi za tanesco zipo kibao lakini husikii tanesco wakikiri Hilo wazi.

Kiufupi tatizo lipo shida Ni "OLE WAKO USEME"

TAFAKARI.
Aliona mbali sana aliye sema:

"You can't fool all the people all the time!"

Eeh mola wetu sema nao.
 
Dah.... hiyo namba 6 una uhakika lakini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huna ushahid wa kutushawishi Kama korona ipo Tanzania kwa Sasa so usizungumzie past events Ila zungumza lile unalotaka kulpa ushahd
 
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.

Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.

Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na jitihada za kupambana na huu ugonjwa.

Siyo siri, sisi Tanzania kwa kiwango kikubwa tulinusurika na wimbi la kwanza la maambukizi yale. Mungu wetu alitusaidia na kwa kweli watanzania walijitahidi pia kuchukua hatua, kila sehemu kulikuwa na ndoo za kunawa mikono etc

Pamoja na mafanikio yale haikuwa sahihi na haiendelei kuwa sahihi serikali kukaa kimya na kuacha kila mtu aamini Korona haipo nchini, au kuuaminisha umma kuwa korona haipo kabisa. kufanya hivyo siyo sahihi hata kidogo

Lakini cha kushangaza zaidi ni pale serikali na vingozi wake walipoanza kudiscourage wananchi kuchukua hatua za kujikinga. Barakoa zilianza kufanyiwa mizaha etc

Serikali ilipaswa iendelee kuhimiza watu waendelee kuchukua hatua, na kuencourage watu kujilinda lakini siyo kudiscourage measures zote ambazo wananchi wanafanya.

Labda kitu kimoja ambacho serikali lazima ielewe ni kuwa sasa wananchi wameanza kuwa na wasiwasi kuwa Korona ipo nchini, lakini wanakosa uhakika wa kimamlaka kulichukulia kwa uzito stahili maana serikali imeamua kupiga kimya!

Mimi ningependa kuieleza serikali yetu kuwa ni higly irresponsible katika kipindi hiki dunia imeingia katika vita ya pili juu ya huu ugonjwa lakini yenyewe imekaa kimya tu inawaacha wananchi peke yao utafikiri kondoo wasio na mchungaji.

Tunataka kusikia kauli ya serikali. Je, Corona ipo Tanzania? Je, serikali ina mpango gani au imeamua wenye kuugua waugue, wenye kufa wafe lakini yenyewe itakaa kimya tu?

Nchi jirani zetu baadhi zimeanza kuchukua hatua kali mipakani mwao kuhusu wanaoingia, je sisi mambo shwari tu hakuna ishu?

Sisi tukimuona rais wetu amekwenda tena Chato kipindi hiki tukiambiwa kuwa Corona imechachamaa huko duniani tunapata wasiwasi kuwa huenda yasemwayo mitaani kuwa ni kweli maana tunakumbuka kipindi kule rais alipokwenda kukaa huko Chato kwa zaidi ya miezi miwili kipindi Corona imechachamaa mwaka jana! Je, ngoma imerudi kama mwaka jana?

Tunataka serikali itupe majibu, tunataka kujua status ya hali ya Corona nchini, maana baadhi ya watu wanaoaga dunia kuna watu mitaani wamekuwa wakinong'ona kuwa Korona ipo na inang'ata.

Wananchi tunataka majibu, tena majibu sahihi ya hili suala!

Coronavirus: Texas and other states ease rules despite warnings​

Published49 minutes ago

A woman receives a Covid vaccine in Jim Hogg County, Texas


IMAGE COPYRIGHTREUTERS


image captionStates across the US have started to ease Covid-19 restrictions, causing concern among health officials
Texas will lift its mask requirement and allow businesses to reopen at full capacity next week, Governor Greg Abbott has announced.

"It is now time to open Texas 100%," the Republican said on Tuesday.

Texas is the largest US state to end its mask mandate. Mr Abbott has faced criticism from his party over the measure, which was imposed last July.

But the administration of US President Joe Biden has made it clear coronavirus restrictions are still necessary.
ADVERTISEMENT

The announcement in Texas came as similar rules were lifted in other states, including Michigan, Louisiana, and Mississippi, which also ended its mask mandate.

The roll-out of vaccinations against Covid-19 has boosted confidence in a return to pre-pandemic life in the US.

On Tuesday, President Biden said the US was on track to have enough vaccines for every adult in the country by the end of May.
Yet the wave of reopenings has put states at odds with the Biden administration and its senior health officials, who have reacted with dismay to the relaxation of coronavirus measures at a precarious time in the pandemic.
On Monday the director of the US Centers for Disease Control and Prevention (CDC) warned of a "potential fourth surge of cases" if the country lapsed into complacency.

Covid-19 data shows that, while infections and deaths have declined in recent weeks, they are still at high levels relative to other countries.

In total, the US has recorded more than 28 million infections and 516,000 deaths related to Covid-19, according to data collated by Johns Hopkins University.

What did the Texas governor announce?​

Mr Abbott issued an executive order that rescinded most of the coronavirus measures he imposed earlier in the pandemic.

The new executive order, which is to take effect on 10 March, lifts all mask requirements and forbids local authorities from penalising residents who do not wear a face covering.

It removes all restrictions on businesses in counties without a high number of Covid-19 patients in hospital.

Greg Abbott (file picture)


IMAGE COPYRIGHTREUTERS


image captionMr Abbott has been under pressure to lift the restrictions

"Too many Texans have been sidelined from employment opportunities," Mr Abbott said in a speech at the Chamber of Commerce in the city of Lubbock. "Too many small business owners have struggled to pay their bills. This must end."

He said that with increased vaccinations and improved treatment for Covid-19, the state was "in a far better position now".
But, he added, "Covid has not suddenly disappeared". Following weeks of decline, coronavirus infections and related deaths are creeping up again in Texas, data from the Covid Tracking Project showed.

Texas has recorded more than 43,000 deaths related to Covid-19, the third-highest state toll in the US.

media captionThe 'colourful' lives lost to Covid - how obituaries are helping us all mourn

Texas puts White House relations to the test​

Angelica Casas, reporting from San Antonio, Texas
Governor Abbott's announcement was no surprise to Texans. After all, the state's pandemic response has been political from the start.

The state's Republican leadership favoured former President Donald Trump's relatively relaxed approach to imposing restrictions. But that created tension with local officials in the state's major cities, which all lean Democrat.

It was control of the disease vs control of the economy. Mask requirements vs maintaining personal liberties. And when the surges came, state politicians were more reactive than proactive.

A year later, not much has changed. The state's death toll and current case rate are still among the highest in the US. That's why critics say Governor Abbott's decision does not follow the science.

So the decision will be a test to the state - but also to Mr Abbott's relationship with President Biden, who has addressed the pandemic with more urgency than his predecessor.
line

What about other US states?​

Individual states are in charge of public health policy in the US. At the start of the coronavirus pandemic, most introduced restrictions on businesses and travel.

About 35 required face coverings to be worn in public places - either or outdoor - although enforcement of these mask mandates has been patchy.

With cases and deaths falling sharply in recent weeks, several states have begun easing the restrictions.

Shortly after Mr Abbott's announcement, Mississippi Governor Tate Reeves said he would do the same in an even shorter time frame.
"Starting tomorrow, we are lifting all of our county mask mandates and businesses will be able to operate at full capacity without any state-imposed rules," Mr Reeves said.

Health experts have warned that the pandemic was far from over and cases could pick up if curbs were lifted too soon.

President Joe Biden speaks about the administration's response to the coronavirus pandemic at the White House in Washington
IMAGE COPYRIGHTREUTERS

Image captionPresident Biden has urged Americans to remain vigilant against the threat of the virus
President Biden - in contrast with his predecessor Mr Trump - has made fighting the virus a priority for his administration.

On Tuesday, Mr Biden said he was upbeat about reaching his goal of delivering 100 million Covid-19 vaccine doses in his first 100 days in office, but urged Americans to remain vigilant in wearing masks and observing social distancing.

"Today's announcements are a huge step in our effort to beat this pandemic," Biden said in a televised statement from the White House. "But I have to be honest with you. This fight is far from over."

How has Covid affected the US?​

  • The 28.7 million total confirmed US infections is nearly double that of second-highest India (11 million) and Brazil (10.5 million), according to Johns Hopkins University research
  • But the US ranks ninth in terms of deaths per 100,000 population, behind countries such as the UK and Italy
  • At least 90,000 more Americans are expected to have died with the virus by 1 June, an Institute for Health Metrics and Evaluation (IHME) projection says. By late May, the virus will kill around 500 Americans per day - down from approximately 2,000 now
  • Hospital admission rates have fallen sharply since January
  • The growing number of new variants, which could spark further outbreaks, remains a concern
 
Corona ni ugonjwa wa wazee kwahiyo inabidi tuwaweke lockdown wazee na sie vijana tuendelee na maisha kama kawaida,kwa kufanya hivyo tutaondoa hivi vifo vya wazee na kupunguza wingi wa wagonjwa huko hospitali.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Vita hivyo vilidumu kuanzia mwaka 1905 hadi 1907. Hivi ni vita vilivyopiganwa na Watanganyika dhidi ya wakoloni wa Kijerumani wakipinga ukandamizwaji wa haki na uhuru wa kujiamulia mambo yao.

Historia inatueleza kuwa vita hiyo mtemi wa wanajamii Kinjekitile Ngwale. Huyu alikua kiongozi shujaa na shupavu wa kabila la Wangindo.

Moja ya mbinu alizotumia ni kuwaaminisha askari wake kwamba milio na bunduki isiwatishe kwani si lolote wala si chochote na badala yake kila wasikiapo mlio wa bunduki waseme Maji.na risasi itakuwa Maji na hii ndio kisa cha kuitwa vita vya MAJI MJi.

Kwa bahati mbaya tulipoteza vita ile kutokana na silaha dhaifu walizokua nazo dhidi ya Wajurumani waliotumia bunduki.

Leo baada ya miaka 114 kupita dunia inapambana na adui mwingine ajulikanaye kama Covid 19 na Tanganyika si kisiwa.watu wanakufa duniani kwa mamilioni. Kinjitikile alikua sahihi kwa enzi zake ila kwa sasa dunia ni kijiji, la Ruvuma ni la Belgium na kinyume chake, Leo Kinjitikile hayupo ila kijiti kile tanapokezana.

Hakuna siri tena watu wanamezwa na Corona, wasomi wetu wanasema ni shida ya kupumua wana hofu kuliko ugonjwa wenyewe
Tumeshuhudia misiba.

Vifo vya waheshimiwa wetu, majenerali, maaskofu, mapadri kwa mashehe achilia mbali utitiri wa wananchi wa kawaida. Laiti kama Kinjitikile angetamka ni risasi badala ya majimaji watu wake wasingeangamia na akitamka ni Covid-19. badala ya shida ya kupumua tutapona kwa kuwa tutachukua TAHADHARI.
 
Kipindi kile cha Maji Maji tulikua tunapigana wenyewe kwa wenyewe. Yaani Mjarumeni mmoja ana wa-rob Watanganyika kadhaa (vibaraka) nao wanawarob kabila fulani na kabila fulani then mnaanza kuzidunda.

Sahivi the same. Watu wachache wanatushawishi tuone kama adui hana nguvu, inapelekea tunapuuzia maagizo ya wataalamu. Tusipokua makini tunapoteza.
 
Vita hivyo vilidumu kuanzia mwaka 1905 hadi 1907. Hivi ni vita vilivyopiganwa na Watanganyika dhidi ya wakoloni wa Kijerumani wakipinga ukandamizwaji wa haki na uhuru wa kujiamulia mambo yao...

Mkuu kuna msanii aliimba "huu ni ushamba."

Ama kwa hakika kuukimbia ugonjwa badala ya kuukabili ndiyo ule ushamba kweri kweri!
 
Back
Top Bottom