Ndugu yangu tanzania ni kubwa sana hatuna huo uwezo wa kuwapaliza ndege wagonjwa wote kwa siku kuwawaisha muhimbiliHata mimi nimejuliza, ilishindikana kupatikana ndege ili kuwahi Muhimhibili na badala ikaonekana ambulance ndiyo jawabu?? nadhani haukuwa uamuzi sahhihi! Pumzika mtoto umeachana na dunia ya shida na dhiki nyingi!😕
Kumbuka CDF ni mkubwa sana zana zote za jeshi ziko chini yake.Usiende mbali tuu mtoto wa cdf aliyemaliza muda wake. Alifatwa na chopa ya jeshi baada ya ajari ya mwanae kwenye ndege
Mbona wezi wa mafuta Morogoro Magufuli aliwapandisha ndege wakatibiwe Dar es Salaam.Wapi uliona tanzania hii mtoto wa masikini akapanda ndege kuwahiswha huduma,usituletee mambo ya kwenye filamu,bado hatujafika anga hizo
Basi viongozi wawajibishwe kuzilipa pesa za posho zilizotoka.Nadhani waanze na uongozi ndio uliotoa order dereva aandae gari, patron aandae manesi wa kumsindikiza mgonjwa.
Hawa wahakukurupuka tu na kuondoka bila viongozi wakuu wa hospitali kutoa maelekezo.
Hana akili,mwizi utampakizaje ndege,wakati yeye mwenyeww alitumia barabaramuda mwingi,isitoshe dar moro ni karibu mno ,ambulance masaa mawili tu,ila logistic za ndege nadhani walitumia masaa matatu hadi manneMbona wezi wa mafuta Morogoro Magufuli aliwapandisha ndege wakatibiwe Dar es Salaam.
Na posho ya 50,000/= aliwapa wezi hao!Hana akili,mwizi utampakizaje ndege,wakati yeye mwenyeww alitumia barabaramuda mwingi,isitoshe dar moro ni karibu mno ,ambulance masaa mawili tu,ila logistic za ndege nadhani walitumia masaa matatu hadi manne
Basi viongozi wawajibishwe kuzilipa pesa za posho zilizotoka.
Haohao ili siku nyingine watumie akili.Uwajibishwaji uanzie ngazi ya watoa maelekezo yani viongozi.