Serikali isiwalipe posho waliokuwa wakimsafirisha kwa gari mtoto mahututi toka Kigoma kwenda Dar es Salaam

Serikali isiwalipe posho waliokuwa wakimsafirisha kwa gari mtoto mahututi toka Kigoma kwenda Dar es Salaam

Hata mimi nimejuliza, ilishindikana kupatikana ndege ili kuwahi Muhimhibili na badala ikaonekana ambulance ndiyo jawabu?? nadhani haukuwa uamuzi sahhihi! Pumzika mtoto umeachana na dunia ya shida na dhiki nyingi!😕
Ndugu yangu tanzania ni kubwa sana hatuna huo uwezo wa kuwapaliza ndege wagonjwa wote kwa siku kuwawaisha muhimbili
 
Unaufaham utaratibu wa ku-refer mgonjwa kutoka hospital ya mkoa?? Unadhan kwamba watumishi wa afya wa kigoma waliamua from nowhere kumrefer mgonjwa bila mawasiliano na hospital za jiran kama BMC ??

Kabla ya kuandika malalamiko tafuta maelezo ya pande zote mbili kwanza..
 
Wapi uliona tanzania hii mtoto wa masikini akapanda ndege kuwahiswha huduma,usituletee mambo ya kwenye filamu,bado hatujafika anga hizo
Mbona wezi wa mafuta Morogoro Magufuli aliwapandisha ndege wakatibiwe Dar es Salaam.
 
Nadhani waanze na uongozi ndio uliotoa order dereva aandae gari, patron aandae manesi wa kumsindikiza mgonjwa.

Hawa wahakukurupuka tu na kuondoka bila viongozi wakuu wa hospitali kutoa maelekezo.
Basi viongozi wawajibishwe kuzilipa pesa za posho zilizotoka.
 
Mbona wezi wa mafuta Morogoro Magufuli aliwapandisha ndege wakatibiwe Dar es Salaam.
Hana akili,mwizi utampakizaje ndege,wakati yeye mwenyeww alitumia barabaramuda mwingi,isitoshe dar moro ni karibu mno ,ambulance masaa mawili tu,ila logistic za ndege nadhani walitumia masaa matatu hadi manne
 
Na posho ya 50,000/= aliwapa wezi hao!
 
Tuwe wakweli uamuzi wa kumsafirisha kwenye barabara za udongo mgonjwa mahututi kwa kutumia Lendikruza kumechangia kwa kiasi kikubwa kusababisha kifo cha mtoto.
 
Back
Top Bottom